Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mpira ni dk 90 + za majeruhi...
Utakuja kuniambia mkuuu
Bacelona haishikiki
mkuu barca atakupa hasara utambinyia mwishowe zitabust
Hahahaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa jinga wew...
Yaani umenichekeshaa nusu nijikojoleeeeeee
Ila nimependa ulivyotumia mafumbo haelewi mtu hapa hii yangu na wew...
Juve kajifua kinoma namwaminiii.....
Naomba tuu usilale unisubiri nije nicheze kiduku
mkuu kuna mti kakuuzi labda...
....juve 3 Barcelona 0
leo ni leo,though Barca ni favorite
Sasa timu yako mwenyewe unashindwa ku-spell jina, si ndio dalili za kufungwa hizi brother ama?
ha ha ha ha ha ha mkuu BASELONA,BARCA,BAKA ama BARCELONA yote matamshi tu najua jins gani unavyojickia baada ya morata kuwafanya vibaya ila usijali sababu tutawapigia mbabe wenu leo
yani hata wangesema leo mpira dk 45 barca lazma anyanyue ndooHalafu watu wanashindwa kuangalia kikosi cha Barca vizuri, Barca anaichukua hii ndoo mapemaaaaaaaa
...
....juve 3 Barcelona 0
yani hata wangesema leo mpira dk 45 barca lazma anyanyue ndoo
Barca 3- 0 juve
tufunge mwaka
...
....juve 3 Barcelona 0
Du...tema mate juu yakurudie....