Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

mkuu barca atakupa hasara utambinyia mwishowe zitabust

Hahahaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa jinga wew...
Yaani umenichekeshaa nusu nijikojoleeeeeee
Ila nimependa ulivyotumia mafumbo haelewi mtu hapa hii yangu na wew...
Juve kajifua kinoma namwaminiii.....
Naomba tuu usilale unisubiri nije nicheze kiduku
 
sawa mkuu huko ni usiku huku mchana hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Sasa timu yako mwenyewe unashindwa ku-spell jina, si ndio dalili za kufungwa hizi brother ama?

ha ha ha ha ha ha mkuu BASELONA,BARCA,BAKA ama BARCELONA yote matamshi tu najua jins gani unavyojickia baada ya morata kuwafanya vibaya ila usijali sababu tutawapigia mbabe wenu leo
 
Halafu watu wanashindwa kuangalia kikosi cha Barca vizuri, Barca anaichukua hii ndoo mapemaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom