Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Hahahaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa jinga wew...
Yaani umenichekeshaa nusu nijikojoleeeeeee
Ila nimependa ulivyotumia mafumbo haelewi mtu hapa hii yangu na wew...
Juve kajifua kinoma namwaminiii.....
Naomba tuu usilale unisubiri nije nicheze kiduku

We najua utakuwa Juve tuuuu maana Man U wote hawaipendi Barca.
 
Team Barcaaaaaaa. Leo tunaenda kukamilisha utaratibu tu kwamba lazima tucheze.....lakini kombe ni letu.
 

Attachments

  • 1433596334800.jpg
    1433596334800.jpg
    20.1 KB · Views: 91
Last edited by a moderator:
Ni leo hii majira ya saa tatu na dakika arobaini na tano (09:45) usiku kwa majira ya Afrika Mashariki katika uwanja wa OLYMPIASTADION BERLIN ulioko katika jijila Berlin nchini Ujerumani mchezo wa kuhitimisha mashindano makubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

M
engi yanategemewa katika mechi hii.

Sasa weka utabiri wako hapa..


#TeamBarcelona #UCL

kuna channel yeyote Azam TV itaonesha huu mtanange?
 
Back
Top Bottom