Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Wanaoujua Mpira wamechagua Juventus,wanaowajua Messi,Suarez na Neymar wamechagua Barca
 
Mkuu nisaidie kumuelewesha cute b maana sijui wamemlisha nn

cute b anajua barca inashinda ila hawez kubali sababu yeye anachuki nao binafs
Natangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.
Nitawaoa wote niwaweke ndani so jichagueni tuu leo nani atakuwa bim kubwa na bimdogo
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaaaaa ww jicheki.....maneno yako yatakugeukia ohoooo.
 
Natangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.
Nitawaoa wote niwaweke ndani so jichagueni tuu leo nani atakuwa bim kubwa na bimdogo
nami natangaza ndoa na wewe mkuu nitakuozesha kwa arsenal maana ndio ana uchu sana
 
Unataka nikuvalishe pete ya gold au silver niandae kabisa hahahaaaa

Kaiandae kabisaa mmeo nije kukuvalisha saa tano maana ni ndoa itakayokuwa na shangwe nyingi mnoooo.....vikombe vitatu kibindoni.
 
Natangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.
Nitawaoa wote niwaweke ndani so jichagueni tuu leo nani atakuwa bim kubwa na bimdogo

Hahahahahahaha !!!!!! Waiter embu leta maji makubwa ya Kilimanjaro tudilute hii na maji doh!! Imekuwa Kali mnoooooooooooo!!!!!! Fanya fastaaaaa........
 
Kaiandae kabisaa mmeo nije kukuvalisha saa tano maana ni ndoa itakayokuwa na shangwe nyingi mnoooo.....vikombe vitatu kibindoni.

Sawa mchumba...
Mimi na wew ni wachumba now na wifi yangu ni everlenk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom