Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Hahahaaaahaaaaaaaaaaaaaaaa jinga wew...
Yaani umenichekeshaa nusu nijikojoleeeeeee
Ila nimependa ulivyotumia mafumbo haelewi mtu hapa hii yangu na wew...
Juve kajifua kinoma namwaminiii.....
Naomba tuu usilale unisubiri nije nicheze kiduku

We najua utakuwa Juve tuuuu maana Man U wote hawaipendi Barca.
 
Team Barcaaaaaaa. Leo tunaenda kukamilisha utaratibu tu kwamba lazima tucheze.....lakini kombe ni letu.
 
Team Barcaaaaaaa. Leo tunaenda kukamilisha utaratibu tu kwamba lazima tucheze.....lakini kombe ni letu.
Haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa huku ni kukamilisha ratiba
 

kuna channel yeyote Azam TV itaonesha huu mtanange?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…