Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Leo watu watakula malimao kwa kuibeza Juve
Baadaye nitaquote post zako zote na uje ujibu nikikuquotehakuna mechi ya uefa iliyotabirika kama hii
kuna channel yeyote Azam TV itaonesha huu mtanange?
Baadaye nitaquote post zako zote na uje ujibu nikikuquote
Mkuu nisaidie kumuelewesha cute b maana sijui wamemlisha nn
Natangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.cute b anajua barca inashinda ila hawez kubali sababu yeye anachuki nao binafs
Natangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.
Nitawaoa wote niwaweke ndani so jichagueni tuu leo nani atakuwa bim kubwa na bimdogo
kuna channel yeyote Azam TV itaonesha huu mtanange?
Hahaaaaaaa ww jicheki.....maneno yako yatakugeukia ohoooo.
nami natangaza ndoa na wewe mkuu nitakuozesha kwa arsenal maana ndio ana uchu sanaNatangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.
Nitawaoa wote niwaweke ndani so jichagueni tuu leo nani atakuwa bim kubwa na bimdogo
Unataka nikuvalishe pete ya gold au silver niandae kabisa hahahaaaa
Unataka nikuvalishe pete ya gold au silver niandae kabisa hahahaaaa
Natangaza ndoa na nyie wote endapo juve atawafung.
Nitawaoa wote niwaweke ndani so jichagueni tuu leo nani atakuwa bim kubwa na bimdogo
Hahahahahahaha !!!!!! Waiter embu leta maji makubwa ya Kilimanjaro tudilute hii na maji doh!! Imekuwa Kali mnoooooooooooo!!!!!! Fanya fastaaaaa........
Wanaoujua Mpira wamechagua Juventus,wanaowajua Messi,Suarez na Neymar wamechagua Barca
hapa mkuu umetutukana, umetutusi mkuu hapa, eti nini?
nami natangaza ndoa na wewe mkuu nitakuozesha kwa arsenal maana ndio ana uchu sana
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha leo usione haya kuvalishwa bikini mkuu
Kaiandae kabisaa mmeo nije kukuvalisha saa tano maana ni ndoa itakayokuwa na shangwe nyingi mnoooo.....vikombe vitatu kibindoni.