kidole007
JF-Expert Member
- Dec 22, 2012
- 3,094
- 1,876
hakuna namna juve watapigwa tu kma man u
massimiliano alegri anaweza pata seizure
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juve lazma amkalishe barca
hizi ndoto nyingine mbaya sanaDk 1201-1Wataanza kufunga Barca,Juventus watasawazisha.Mikwaju ya Penalty Barcelona 3-4 JuventusNdoo inaenda TorinoUshindani mwingine utakuwa ni NIKE /BARCA VS ADIDAS/ JUVENTUS
**** watu wanaipenda barcelona mmmmm mi nasubili mbali.sn
tupo pamoja mkuu leo laxma tupige juve nyingiYaani nilikuwa najiona mi.naipendaaaaaaaa barcelona lkn kwa post na coment hizi mi bado sana ila wote tutafurahi sn kama andunje atafunga hiyo ksh
Lolote laweza kutoka barca 1 juve 3
Barca na Refa wao Juve na washabiki wao...
ha ha ha ha ha ga hzi ndoto mbaya sana
Leo ndio utafahamu kwaniini kichwa cha Nyoka hakibebi Mtungi ati.
Barcelona ni mlaini na mwepesi sana kama KY.
hana jipya huyo hata uropa anaisikilizia kwenye bombaNani anasema maneno hayaaaaa!!!!???? Aaaaaaaaah kumbe Frank Wanjiru!!!!
mkuu achana nae huyo hana jipyaViol mbona tunaaka kujiumiza bila sababu za msingi kwa kilazimisha nafsi yako iamini kitu ambacho hakiwezi kutokea na hata wewe pia unajua hakiwezi kutokea. Kuna mambo mengine ni ya kikanuni zaidi hivyo jibu lako likiwa tofauti na wengine unakuwa umekosa. kwa kusema Juve anachukuwa kikombe unakuwa umeenda kinyume na matakwa ya kanuni hivyo y
umekosa.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haUna wakati mgumu sana weekend hii, hakika barca wanaenda kuziumiza hisia zako. hebu hamia upande wa wabingwa ndugu.
Tusubiri mkuu
tusubir idad ya magoli hayo ndio hatuyajui ila.mkuu wewe wafanya kusudi tu ila unaijua vema barca
hana jipya huyo hata uropa anaisikilizia kwenye bomba
kama kugombania nafas ya pili lazma amkalishe