Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Dk 1201-1Wataanza kufunga Barca,Juventus watasawazisha.Mikwaju ya Penalty Barcelona 3-4 JuventusNdoo inaenda TorinoUshindani mwingine utakuwa ni NIKE /BARCA VS ADIDAS/ JUVENTUS
hizi ndoto nyingine mbaya sana
 
Yaani nilikuwa najiona mi.naipendaaaaaaaa barcelona lkn kwa post na coment hizi mi bado sana ila wote tutafurahi sn kama andunje atafunga hiyo ksh
tupo pamoja mkuu leo laxma tupige juve nyingi
 
Viol mbona tunaaka kujiumiza bila sababu za msingi kwa kilazimisha nafsi yako iamini kitu ambacho hakiwezi kutokea na hata wewe pia unajua hakiwezi kutokea. Kuna mambo mengine ni ya kikanuni zaidi hivyo jibu lako likiwa tofauti na wengine unakuwa umekosa. kwa kusema Juve anachukuwa kikombe unakuwa umeenda kinyume na matakwa ya kanuni hivyo y
umekosa.
mkuu achana nae huyo hana jipya
 
Last edited by a moderator:
tusubir idad ya magoli hayo ndio hatuyajui ila.mkuu wewe wafanya kusudi tu ila unaijua vema barca

Juve watashinda hata kwenda extra time na kuingia kwenye matuta,msichukukie mambo easy kiasi hicho,mnaifananisha juve Kama yanga,midfield yao imetulia Sana
 
Back
Top Bottom