Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

mkuu sijakataa kwa huyo bi kizee anaweza akafunga goli au hata magoli lakini abadani asirani kombe hatolichukua, ile ni mali ya inayopaswa kwenda catalunya

ni kweki mkuu
 
Mkuu chuki zako dhidi ya Barca zitakusababishia vidonda vya tumbo

Siyo chuki mkuu, mbona pale barca nina shujaa wangu, yule aliyempimia kanzu mtu mpaka akaamua kuanzisha ugomvi uwanjani! Huyo ni Neymar!! Lakini linapokuja suala la kukabiliana na kibibi kizee hiyo ni habari nyingine kabisa mkuu!!! Sema humu ndani watu hawakijui kibibi kizee maana kilikuwa likizo ya muda mrefu!! Likizo ya kibibi kizee imekwisha na tangazo kuwa likizo hiyo imekwisha litasomwa leo kuanzia saa 3:45 usiku huu!!
 
Siyo chuki mkuu, mbona pale barca nina shujaa wangu, yule aliyempimia kanzu mtu mpaka akaamua kuanzisha ugomvi uwanjani! Huyo ni Neymar!! Lakini linapokuja suala la kukabiliana na kibibi kizee hiyo ni habari nyingine kabisa mkuu!!! Sema humu ndani watu hawakijui kibibi kizee maana kilikuwa likizo ya muda mrefu!! Likizo ya kibibi kizee imekwisha na tangazo kuwa likizo hiyo imekwisha litasomwa leo kuanzia saa 3:45 usiku huu!!
mkuu nishakusoma kuwa unampenda neymar 7bu utakuwa wewe ni mshabikivwa brazil ila sema usemavyo BARCA BINGWA
 
Mpira nusu uwanja, Juve hawauwezi mchezo wa Barca, watakuwa wanategemea 'counter attack' huku wanakunywa magoli
ha ha ha ha ha ha ha ha wenyewe wako busy na counter attack sie tupo busy na kutupia magoli wavuni NIMEIPENDA HII
 
ha ha ha ha ha ha ha ha wenyewe wako busy na counter attack sie tupo busy na kutupia magoli wavuni NIMEIPENDA HII

Hafu Messi awachanganye na atupie kitu kikali, nilisikia wanajipa moyo kuwa Messi hawawezi mabeki wa Juve
 
Hafu Messi awachanganye na atupie kitu kikali, nilisikia wanajipa moyo kuwa Messi hawawezi mabeki wa Juve
hawawez mabeki wa juve ha ha ha ha ha ha ha ha mabeki wenyeww wakina evra ha ha ha ha ha ha
 
team juve,najua mpira ukishaisha wengi watakimbia humu....
 
Barca wanaongelea tu Forwad naona mmesahau sehemu muhimu ya ulinzi,ipo timamu au ndo tia maji tia maji? Kuna akina Tevez,Morata,wakisaidiwa na Pogba,Vidal,na mtu mzima Pirlo watakuwa na njaa ya kulichungulia.lango la Barca.Vipi ulinzi upoooooo kweli?
 
kama kawaida mtoto wa nyoka ni nyoka
 

Attachments

  • 1433606725739.jpg
    1433606725739.jpg
    9.6 KB · Views: 104
akili kichwani mwako
 

Attachments

  • 1433606901944.jpg
    1433606901944.jpg
    21.4 KB · Views: 99
zamu ya juve
 

Attachments

  • 1433607178943.jpg
    1433607178943.jpg
    9.5 KB · Views: 116
"It's not about who I like more between them. Every
time people ask me I tell them that you just can't
compare them. Ronaldo is more direct, is a pure
scorer. Messi scores a whole lot of goals but he
can also create a ton for others. If I was managing
a team, both of them would be very important but if
I had to choose only one, it would be Messi." :-
PELE
Messi or Ronaldo best player in the world? In the
world, I would say Ronaldo. Messi is from another
planet." - Turkish international Arda Turan
"Messi is God, as a person and even more as a
player. I knew him when he was a boy and I’ve
watched him grow. He deserves it all." - Samuel
Eto'o
"Although he may not be human, it’s good that
Messi still thinks he is." - Javier Mascherano
"They tell me that all men are equal in God’s eyes,
this player makes you seriously think about those
words." - Football commentator Ray Hudson
"Newton and Einstein had a certain level of autism -
I hope that, like them, Messi surpasses himself
every day and continues to give us his beautiful
brand of football." - Romario
"Messi is the Mozart of football." - Radomir Antic
"It is clear that Messi is on a level above all others.
Those who do not see that are blind." - Xavi
"There are three or four important things in life:
books, friends, women… and Messi." - Portuguese
writer Antonio Lobo Antunes
"Barca will never have a player like Messi again.
Messi’s greatness is present on and off the field of
play." - Barcelona president Sandro Rosell
"At this point I’m starting to believe that Messi is
tightly related to Clark Kent." - Israeli model Bar
Rafaeli
"Messi is class. There is him, and then there is the
rest. What he does is extraordinary." - Franck
Ribery
"We give him the ball and stand back and watch.
People often say to me they saw Pele and Maradona
play. In the future, I will be able to say I saw Messi
play." - Thiago Alcanatara
"He is always going forwards. He never passes the
ball backwards or sideways. He has only one idea,
to run towards the goal. So as a football fan, just
enjoy the show." - Zinedine Zidane
"He sees passes that most people can only see
whilst watching the game on TV, not ones that you
can normally see on the pitch." - Tata Martino
"For the world of football, Messi is a treasure
because he is role model for children around the
world… Messi will be the player to win the most
Ballons d’Or in history. He will win five, six, seven.
He is incomparable. He’s in a different league." -
Johan Cruyff
"I have played against Platini, Maradona, Cruyff and
played with George Best — a lot of big names, but
none of them has been able to do what Messi does.
Two years ago I said that the best player I played
against was Maradona and the best player I have
played with was Bestie. But I can now say I have
never seen a player as good as Messi. He’s in a
league of his own." - Former Tottenham star Gerry
Armstrong
"Diego [Maradona] filled us with emotions. But
between the cracks, without doubt, Messi is better
than Maradona." - Diego Simeone
"There is no doubt, you’re from another galaxy.
Thanks Leo." - Maxi Rodriguez
"Who is the Best Player in the World? Leo Messi.
Who is the Best Player Ever? Leo Messi." - Arsene
Wenger
"I have seen the player who will inherit my place in
Argentine football and his name is Messi. Messi is a
genius." - Diego Maradona
"I like Messi a lot, he’s a great player. Technically,
we’re practically at the same level." - Pele
"Messi does not need his right foot. He only uses
the left and he’s still the best in the world. Imagine
if he also used his right foot, Then we would have
serious problems." - Zlatan Ibrahimovic
"Fella’s a genius. Best ever by a distance in my life
time. Never really saw Pele… Souness, Gullit,
Venables and now Rooney agree Messi is the best
they have seen. He plays a game with which we are
not familiar." - Gary Lineker
"I played with Romario, Rivaldo, Ronaldo, Laudrup
and Stoichkov but Messi is the best I’ve seen" -
Former Barcelona and Chelsea star Alb
 
Barca wanaongelea tu Forwad naona mmesahau sehemu muhimu ya ulinzi,ipo timamu au ndo tia maji tia maji? Kuna akina Tevez,Morata,wakisaidiwa na Pogba,Vidal,na mtu mzima Pirlo watakuwa na njaa ya kulichungulia.lango la Barca.Vipi ulinzi upoooooo kweli?

Wanachukulia hii mehi Kama mteremko,midfield ya juventus imeshiba,mtazamo wangu juve wanashinda au wataenda extra time mpaka matuta
 
Ulimwengu Leo utashangaa kombe linachukuliwa mbele ya messi,neymar,suarez
 
Back
Top Bottom