Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My honey Cardinal06 nataka kulala,lakini kabla ya kulala nataka nikupatie zawadi ......are you ready?
Koh!koh!koh mie yangu macho.Na mie nitafutie moja
Koh!koh!koh mie yangu macho.Na mie nitafutie moja
Khaaa!!! Umetokea wapi wewe???? Dah!! Shost hapa namkwiba kaka yako wa Emirate yaani usiniharibie dili tu........zawadi yako itakufuata ulipo lakini dili likitiki,lol
Shemeji yangu yuko wapi?
Umewaona wifi zako?
.
================================
Final Score
Barcelona 3 - Juventus 1
Siharibu deal maana navyopenda zawadi ni balaaaa.Nilikuwa nafurahia ushindi wa jana
My honey Cardinal06 nataka kulala,lakini kabla ya kulala nataka nikupatie zawadi ......are you ready?
Safiii safari hii ulitulia kuchagua mchepuko wa maana
cute b unakikoa nkozi kwanza kichwa changu mpk kinakua kilaini.
Ushemeji huku tunazima taa!
Ntuzu umesikiaa?? Usije ukanila mimi nakuheshimu kama shemeji.
Ata tukilala kitanda kimoja usisogeze kamkono maana nitasababisha uachwe coz ukinigusa tuu najilegeza unanila afu nashtaki unaachwa...hahahaaa
Akuuuuu tunazima taa ila tukiwasha kusema pako pale pale