Mechi ya fainali Esperence vs Wydad casablanca yatuvua nguo waafrica.

Mimi nakubaliana na wewe CAF wamekosea lakini team kutoka uwanjani hata ndondo cup hawawezi kufanya hivyo, sponsors watatokea wapi ikiwa tunafanya mambo ya kihuni na hizo ndio mechi kubwa katika ngazi ya club football. Mimi nasema hata kama refa kakosa au sijui VAR kugomea mpira hapana.
 
 
Bahati nzuri wamekutana wao kwa wao.
 
SOKA LA AFRICA KILA KITU KIPO NJE YA UWANJA

updates 15 za FAINALI HIO

fainali mkondo wa kwanza nyumbani kwa WYDAD

1.ESPERANCE wanapata goli [emoji122][emoji122]

2. Beki wa WYDAD anapata kadi nyekundu[emoji51][emoji51] baada ya kupewa njano mbili

3.WYDAD wanasawazisha goli , goli linakataliwa baada ya refa kuangalia VAR[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]

4.WYDAD wananyimwa penalti baada ya beki kuunawa Mpira ukielekea nyavuni refa anaangalia VAR na kukataa tuta[emoji35][emoji35][emoji35]

5.WYDAD wakiwa pungufu wanasawazisha goli[emoji460][emoji460][emoji460][emoji123][emoji123][emoji123]

6.mechi inaisha 1-1 pale MOROCCO [emoji810][emoji810][emoji810]

7.refa aliechezesha mechi ya fainali ya kwanza anafungiwa miezi 6 kutokakana na maamuzi mabovu kwenye mechi hio[emoji15][emoji15][emoji15]

8.mechi ya marejeano ( fainali ya pili) nyumbani kwa ESPERANCE

9.ESPERANCE wanapata goli la kutangulia[emoji1666][emoji122][emoji122][emoji122]

10.WYDAD wanachomoa na goli halali linakataliwa kwa madai ya kua MFUNGAJI alikua OFFSIDE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

11.WYDAD wanamlalamikia mwamuzi akaangalie VAR lakini mwamuzi anagoma[emoji15][emoji15][emoji15]

12.WYDAD wanagoma kucheza mpakaa VAR iangaliwe [emoji122][emoji1666][emoji1666]

13.VAR inagundulika kua ni mbovu na haifanyai kazi [emoji15][emoji15]

14.RAIS wa CAF anaingia mpaka uwanjani kuomba mechi iendelee bila VAR lakini WYDAD wanagoma wakidai wanaonewa wazi wazi [emoji51][emoji51][emoji2813][emoji2813][emoji2813]

15.kapteni wa ESPERANCE anadai mwamuzi aliwaambia kabla ya mechi VAR ni mbovu lakini kapteni mwenzie wa WYDAD hakuelewa lugha ya mwamuzi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

16.ESPERANCE anakabidhiwa kombe kwa mara ya pili baada ya mechi kuvunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hili ndio soka la AFRICA aseee[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
 
Atamm naona n jambo zuri hili africa hpa tuna feli
 
 
Nilijua mbeleko ni kwa bodaboda fc pekee, Avumaye baharini Papa kumbe wengine wapo
 
Jana watu wengi tumebaki vinywa wazi ...ivi afrika tunafeli wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…