theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Why africa is a shit continent, jaribu kutumia lugha nzuri basi.
Unasemaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasemaje?
Mimi nakubaliana na wewe CAF wamekosea lakini team kutoka uwanjani hata ndondo cup hawawezi kufanya hivyo, sponsors watatokea wapi ikiwa tunafanya mambo ya kihuni na hizo ndio mechi kubwa katika ngazi ya club football. Mimi nasema hata kama refa kakosa au sijui VAR kugomea mpira hapana.wydad wamekasirika sababu kwao walikataliwa goli... na pia kama sheria imesema kuna VAR.. why kwenye goli lao la kusawazisha waseme VAR mbovu..
caf wamejichanganya sana kuweka VAR ... walipaswa waseme haipo kabisa ili kila anaecheza ajue haipo..
ila ukisema VAR ipo.. mwingine ukamkatalia goli.. mwingine ukampa goli.. hapo inakuwa double standard
Lakini wana kiwango bora zaidi yetu ndgKwanza Hao waarabu wote washenzi wanatufanyiaga figisu timu za sub Sahara
Wajinga sana Hao
Baada ya VAR kugoma refa alipitisha uamuzi wa goli au sio goli?.
[/QUOTLinesman alionesha bendera refa akapiga filimbi kuwa offside ila kwa sisi tuliokuwa tunatizama TV baada kurudia haikuwa offside ila kwa speed unaweza kusema offside. sasa refa angepata kutizama VAR lazima angebadili na kusema goal tatizo VAR hakuna na kama hakuna refa hawezi kubadili uamuzi maana atabadili kwa kigezo gani?
Jana bwana pale Tunisia ulipigwa mtanange wa fainali ya pili baada ile ya kwanza iliyochezwa wikimoja iliyopita kule morrocco kuisha kwa 1-1. Kwenye ile mechi ya mkondo wa kwanza lilifungwa goli la utata VAR ikafanya kazi sawasawa, kituko kwenye mechi ya marejeano ya jana usiku Esperence walitangulia kufunga goli wydad wakachomoa kwa goli la kichwa refa akasema ni offside ikabidi wakarejee kwenye VAR kufika kwenye VAR eti ikagoma kufanya kazi. Refa akawaita wydad waludi kuendelea na mpira wydad wakagoma refa akasubili dakika kumi na tano wydad wakagoma kabisa kuendelea na mchezo, CAF wakaipa ubigwa Esperence. Yani mpira wa africa ni ovyo ovyo sio TFF wala CAF wote ni watoto wa baba mmoja.
Again Africa is the shittiest continent ever. Yaani jana ungeangalia lile game wala usingejiuliza mara mbili mbili kuwa Africa ni shit continent.Why africa is a shit continent, jaribu kutumia lugha nzuri basi.
Atamm naona n jambo zuri hili africa hpa tuna feliAisee bora fainali iwe inachezwa kwenye neutral ground wanaweza wakaamua mwaka ujao ifanyike Tanzania au Gabon au nchi nyoyote yenye uwanja mzuri lkn ili swala la fainali kuchezwa nyumbani na ugenini ndo tatizo kubwa, ata kama kisingizio ni mashabiki kutokuja viwanjani kama ilo litapitishwa ila ni bora mashabiki wasije ila fainali iwe ya haki.
WAC Wameonewa kabisa aiseeee, inauma sana lakini ndio hivyo
Kwanza Hao waarabu wote washenzi wanatufanyiaga figisu timu za sub Sahara
Wajinga sana Hao
SOKA LA AFRICA KILA KITU KIPO NJE YA UWANJA
updates 15 za FAINALI HIO
fainali mkondo wa kwanza nyumbani kwa WYDAD
1.ESPERANCE wanapata goli [emoji122][emoji122]
2. Beki wa WYDAD anapata kadi nyekundu[emoji51][emoji51] baada ya kupewa njano mbili
3.WYDAD wanasawazisha goli , goli linakataliwa baada ya refa kuangalia VAR[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
4.WYDAD wananyimwa penalti baada ya beki kuunawa Mpira ukielekea nyavuni refa anaangalia VAR na kukataa tuta[emoji35][emoji35][emoji35]
5.WYDAD wakiwa pungufu wanasawazisha goli[emoji460][emoji460][emoji460][emoji123][emoji123][emoji123]
6.mechi inaisha 1-1 pale MOROCCO [emoji810][emoji810][emoji810]
7.refa aliechezesha mechi ya fainali ya kwanza anafungiwa miezi 6 kutokakana na maamuzi mabovu kwenye mechi hio[emoji15][emoji15][emoji15]
Afrika tuko nyuma sana
Nilijua mbeleko ni kwa bodaboda fc pekee, Avumaye baharini Papa kumbe wengine wapoNimeshangaa bin kushangaa. Africa tuna matatizo tena makubwa. Eti VAR haifanyi kazi fainali jamani. Halafu mechi ya kwanza i.e first leg ilichezwa saa saba usiku ya Tanzania. Kule penalt ilikataliwa,captain akalimwa red card. Jana napo lille lilikuwa goli,likakataliwa. Inshort Esperance alipangwa ashinde njoo mvua njoo jua. Africa is shit continent.
Jana watu wengi tumebaki vinywa wazi ...ivi afrika tunafeli wapi?SOKA LA AFRICA KILA KITU KIPO NJE YA UWANJA
updates 15 za FAINALI HIO
fainali mkondo wa kwanza nyumbani kwa WYDAD
1.ESPERANCE wanapata goli [emoji122][emoji122]
2. Beki wa WYDAD anapata kadi nyekundu[emoji51][emoji51] baada ya kupewa njano mbili
3.WYDAD wanasawazisha goli , goli linakataliwa baada ya refa kuangalia VAR[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
4.WYDAD wananyimwa penalti baada ya beki kuunawa Mpira ukielekea nyavuni refa anaangalia VAR na kukataa tuta[emoji35][emoji35][emoji35]
5.WYDAD wakiwa pungufu wanasawazisha goli[emoji460][emoji460][emoji460][emoji123][emoji123][emoji123]
6.mechi inaisha 1-1 pale MOROCCO [emoji810][emoji810][emoji810]
7.refa aliechezesha mechi ya fainali ya kwanza anafungiwa miezi 6 kutokakana na maamuzi mabovu kwenye mechi hio[emoji15][emoji15][emoji15]
8.mechi ya marejeano ( fainali ya pili) nyumbani kwa ESPERANCE
9.ESPERANCE wanapata goli la kutangulia[emoji1666][emoji122][emoji122][emoji122]
10.WYDAD wanachomoa na goli halali linakataliwa kwa madai ya kua MFUNGAJI alikua OFFSIDE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
11.WYDAD wanamlalamikia mwamuzi akaangalie VAR lakini mwamuzi anagoma[emoji15][emoji15][emoji15]
12.WYDAD wanagoma kucheza mpakaa VAR iangaliwe [emoji122][emoji1666][emoji1666]
13.VAR inagundulika kua ni mbovu na haifanyai kazi [emoji15][emoji15]
14.RAIS wa CAF anaingia mpaka uwanjani kuomba mechi iendelee bila VAR lakini WYDAD wanagoma wakidai wanaonewa wazi wazi [emoji51][emoji51][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
15.kapteni wa ESPERANCE anadai mwamuzi aliwaambia kabla ya mechi VAR ni mbovu lakini kapteni mwenzie wa WYDAD hakuelewa lugha ya mwamuzi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
16.ESPERANCE anakabidhiwa kombe kwa mara ya pili baada ya mechi kuvunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hili ndio soka la AFRICA aseee[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
akina naniBahati nzuri wamekutana wao kwa wao.
akina nani