Mechi ya fainali Esperence vs Wydad casablanca yatuvua nguo waafrica.

Naxungumzia mvuto mkuu,final ni mwisho sasa unapokuwa na mwisho mitatu au miwili huo sio mwisho sasa
 
Aibu kubwa kwa rais huyu mpya wa CAF. Upendeleo wa waziwazi kwa Esperance kwa mechi zote mbili.
 
Aiseee[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kushangaa bin kushangaa
 
Hao waliogoma kuendelea na mechi (Wydad) inabidii waadhibiwe (ikiwezekana wafungiwe kushiriki haya mashindano) maana huko ni kukosa nidhamu kwani baada ya mechi wangepeleka malalamiko yao kwa wahusika.
Mh.
 
Uamuzi mzuri huu! Ila CAF bhana si wangefanya hicho kikao ndani ya nchi yoyote mwanachama? Wanaenda Paris ili wale bata tu Waafrica bhana....???
Lakin wao wanaweza kusema ni sababu za kiusalama
 
Lakin wao wanaweza kusema ni sababu za kiusalama
Hiyo itakua sababu ya hovyo tu yaani unataka kusema Africa hakuna nchi salama ya kufanya kikao kama hicho? Hata makao makuu ya CAF sio salama? hao ni sawa na viongozi wa Africa wakiumwa wanaenda kulazwa Ulaya ila hawathubutu kuboresha hospital za mataifa yao sababu ya ubinafsi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…