Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,505
- 5,715
Naxungumzia mvuto mkuu,final ni mwisho sasa unapokuwa na mwisho mitatu au miwili huo sio mwisho sasachampions league nyingi sana za football zina fainali 2... mechi home and away.. mfano america, asia, africa, etc... hata basketball nba finals ina mechi 7 za marudiano
sasa hapo unasemaje imepoteza maana ya fainali
![]()
2018 Copa Libertadores finals - Wikipedia
en.wikipedia.org