James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,761
Match ya kwanza yenyewe ilikuwa Full utatasina uhakika kuzima kwa makusudi au hapana ila correction lingekuwa goal ingekuwa wako draw maana mechi ya kwanza pai ilikuwa moja kwa moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Match ya kwanza yenyewe ilikuwa Full utatasina uhakika kuzima kwa makusudi au hapana ila correction lingekuwa goal ingekuwa wako draw maana mechi ya kwanza pai ilikuwa moja kwa moja.
Sasa kwanini kwanini VAR iwe mbovu???? wakati kwenye match ya kwanza ilitumila bila utata???ndio maana nasema tuchukue mfano hakuna VAR mwaka jana kweli team katika final kubwa africa unatoka uwanjani? tumeona mangapi ulaya magoal mazuri yanakataliwa na offside goal lakini refa anaheshimiwa na game inaendelea mambo ya kutoka uwanjani ya kizamani sana ni aibu jana.
yeah kweli... CAF wamezingua sanawydad wamekasirika sababu kwao walikataliwa goli... na pia kama sheria imesema kuna VAR.. why kwenye goli lao la kusawazisha waseme VAR mbovu..
caf wamejichanganya sana kuweka VAR ... walipaswa waseme haipo kabisa ili kila anaecheza ajue haipo..
ila ukisema VAR ipo.. mwingine ukamkatalia goli.. mwingine ukampa goli.. hapo inakuwa double standard
Hamna lolote...waarabu wanakuwaga wana timu mzuri....mbona ukijipanga kama mazembe unawafunga. Tatizo sie wenyewe timu zitu magumashiKwanza Hao waarabu wote washenzi wanatufanyiaga figisu timu za sub Sahara
Wajinga sana Hao
Sasa kwanini uendelee kucheza wakati unadhulumiwa haki yako??? We unaona walichofanyiwa Casablanca ni sahihi???Mimi nakubaliana na wewe CAF wamekosea lakini team kutoka uwanjani hata ndondo cup hawawezi kufanya hivyo, sponsors watatokea wapi ikiwa tunafanya mambo ya kihuni na hizo ndio mechi kubwa katika ngazi ya club football. Mimi nasema hata kama refa kakosa au sijui VAR kugomea mpira hapana.
Ingetakiwa iwe moja tu tena uwanja wa ugenini kwa timu zote mbili hawa CAF magumashi tu.Yaani tuko nyuma sana fainal zinachezwa mbili?
Manina zao caf
Goli lililokataliwa lilikuwa goli zuri mno!!! Mfungaji alimtoka mlinzi akiwa amezubaa baada ya mpira kuwa umeshapigwa halafu akauunganisha mpira kwa kichwa hadi nyavuni. Ukiangalia replay huwezi kuamini kwa nini refa alilikataa goli hilo. Kama mnakumbuka goli alilofunga Torres akiwa chelsea dhidi ya Barcelona mechi ya pili ya nusufainali. Alichomoka baada ya mpira kuwa umepigwa akawa peke yake huko mbele na akafunga goli.Nimeshangaa bin kushangaa. Africa tuna matatizo tena makubwa. Eti VAR haifanyi kazi fainali jamani. Halafu mechi ya kwanza i.e first leg ilichezwa saa saba usiku ya Tanzania. Kule penalt ilikataliwa,captain akalimwa red card. Jana napo lille lilikuwa goli,likakataliwa. Inshort Esperance alipangwa ashinde njoo mvua njoo jua. Africa is shit continent.
Hao waliogoma kuendelea na mechi (Wydad) inabidii waadhibiwe (ikiwezekana wafungiwe kushiriki haya mashindano) maana huko ni kukosa nidhamu kwani baada ya mechi wangepeleka malalamiko yao kwa wahusika.
Africa ni shit tena kiwango cha daraja la Kwanza mbona iko wazi.Why africa is a shit continent, jaribu kutumia lugha nzuri basi.
spain super cup inayokutanisha bingwa wa la liga na copa del rey wanacheza mbiliYaani tuko nyuma sana fainal zinachezwa mbili?
Manina zao caf
Mbona mashindano yana sponsor mzuri tu ambaye ni TOTAL na wameweka dau la kutosha? Kwani mashabiki wasipokuja wao linawausu nn? Marefa, mpaka waokota mipira wanalipwa na sponsor mbona kule Misri na Nchi nyingine za kiarabu kuna wakati mechi uwa zinachezwa bila mashabiki kabisa kwa sababu ya fujo zao lkn simpira uwa unachezwa? Wasituletee uzwazwa fainali ichezwe moja kwenye neutral ground ata wakiamua wawe wanapeleka uko dubai au falme za kiarabu ambapo juzijuzi walipeleka fainali ya ngao ya hisani.Wanasema eti washabiki Africa hawana tabia ya kusafiri. Wanaangalia kuuzika kwa ticket zaidi. Hata mimi naungana na mawazo yako. Halafu wafanye fainali moja tu.
Hilo neno na ni aibu kwa CAF lakini tuseme AVR mbovu ingeweza pia kuwaokoa Casablaca kungetokea utata mimi maoni yangu pamoja na yote kutoka uwanjani ni kosa kubwa. Mimi nitakwambia tatizo lilianza mechi ya kwanza pamoja na kuwepo AVR wakasema refa hakuchezesha vizuri na CAF walivyokuwa wajinga wakamfungia yule refa wa Egypt miezi 6 hii ikajenga taswira kuwa refa mbovu nao wamekuja huku kosa moja tu la refa wamegoma kucheza kwa kuamini mbona yule alifungiwa wa kwanza. wenzetu kule juu hawafungii refa wanamnyima mechi tu muhimu kwa muda lakini hawamshtumu refa uadilifu wake huku ni kinyume. CAF ndio wawajibike katika sakata hili.Sasa kwanini kwanini VAR iwe mbovu???? wakati kwenye match ya kwanza ilitumila bila utata???
Hapana sio sahihi na lile baada ya kurudiwa lilikuwa goal lakini tujiulize refa hata huko ulaya kwenye league kubwa tu kunafanyika makosa na mengine yanasababisha team kushuka kwa uzembe wa refa na kupoteza mamilioni. Hivi wapi tumeona team inatoka uwanjani sababu tu unahisi umeonewa. umefunga goal refa kakataa nenda funga tena watu wataona tu.Sasa kwanini uendelee kucheza wakati unadhulumiwa haki yako??? We unaona walichofanyiwa Casablanca ni sahihi???
Hapana sio sahihi na lile baada ya kurudiwa lilikuwa goal lakini tujiulize refa hata huko ulaya kwenye league kubwa tu kunafanyika makosa na mengine yanasababisha team kushuka kwa uzembe wa refa na kupoteza mamilioni. Hivi wapi tumeona team inatoka uwanjani sababu tu unahisi umeonewa. umefunga goal refa kakataa nenda funga tena watu wataona tu.
Mapumbavu sana hayo Ma-CAF, ndiyomaana sikuhangaika jana kwenda kuangalia hiyo mechi 7bu ya awali tu ilishanionesha ishara kuwa Esperance FC ndiye atayebeba kombe kivyovyote tu.Nimeshangaa bin kushangaa. Africa tuna matatizo tena makubwa. Eti VAR haifanyi kazi fainali jamani. Halafu mechi ya kwanza i.e first leg ilichezwa saa saba usiku ya Tanzania. Kule penalt ilikataliwa,captain akalimwa red card. Jana napo lille lilikuwa goli,likakataliwa. Inshort Esperance alipangwa ashinde njoo mvua njoo jua. Africa is shit continent.
Kiuhalisia Africa bado sana kimaendeleo.Jana bwana pale Tunisia ulipigwa mtanange wa fainali ya pili baada ile ya kwanza iliyochezwa wikimoja iliyopita kule morrocco kuisha kwa 1-1. Kwenye ile mechi ya mkondo wa kwanza lilifungwa goli la utata VAR ikafanya kazi sawasawa, kituko kwenye mechi ya marejeano ya jana usiku Esperence walitangulia kufunga goli wydad wakachomoa kwa goli la kichwa refa akasema ni offside ikabidi wakarejee kwenye VAR kufika kwenye VAR eti ikagoma kufanya kazi. Refa akawaita wydad waludi kuendelea na mpira wydad wakagoma refa akasubili dakika kumi na tano wydad wakagoma kabisa kuendelea na mchezo, CAF wakaipa ubigwa Esperence. Yani mpira wa africa ni ovyo ovyo sio TFF wala CAF wote ni watoto wa baba mmoja.
Kwanini wasingetengeneza hiyo VAR kabla ya mechi au waghairi mechi kusubiri hadi VAR kutengamaa ndipo ichezwe fainali?SOKA LA AFRICA KILA KITU KIPO NJE YA UWANJA
updates 15 za FAINALI HIO
fainali mkondo wa kwanza nyumbani kwa WYDAD
1.ESPERANCE wanapata goli [emoji122][emoji122]
2. Beki wa WYDAD anapata kadi nyekundu[emoji51][emoji51] baada ya kupewa njano mbili
3.WYDAD wanasawazisha goli , goli linakataliwa baada ya refa kuangalia VAR[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
4.WYDAD wananyimwa penalti baada ya beki kuunawa Mpira ukielekea nyavuni refa anaangalia VAR na kukataa tuta[emoji35][emoji35][emoji35]
5.WYDAD wakiwa pungufu wanasawazisha goli[emoji460][emoji460][emoji460][emoji123][emoji123][emoji123]
6.mechi inaisha 1-1 pale MOROCCO [emoji810][emoji810][emoji810]
7.refa aliechezesha mechi ya fainali ya kwanza anafungiwa miezi 6 kutokakana na maamuzi mabovu kwenye mechi hio[emoji15][emoji15][emoji15]
8.mechi ya marejeano ( fainali ya pili) nyumbani kwa ESPERANCE
9.ESPERANCE wanapata goli la kutangulia[emoji1666][emoji122][emoji122][emoji122]
10.WYDAD wanachomoa na goli halali linakataliwa kwa madai ya kua MFUNGAJI alikua OFFSIDE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
11.WYDAD wanamlalamikia mwamuzi akaangalie VAR lakini mwamuzi anagoma[emoji15][emoji15][emoji15]
12.WYDAD wanagoma kucheza mpakaa VAR iangaliwe [emoji122][emoji1666][emoji1666]
13.VAR inagundulika kua ni mbovu na haifanyai kazi [emoji15][emoji15]
14.RAIS wa CAF anaingia mpaka uwanjani kuomba mechi iendelee bila VAR lakini WYDAD wanagoma wakidai wanaonewa wazi wazi [emoji51][emoji51][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
15.kapteni wa ESPERANCE anadai mwamuzi aliwaambia kabla ya mechi VAR ni mbovu lakini kapteni mwenzie wa WYDAD hakuelewa lugha ya mwamuzi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
16.ESPERANCE anakabidhiwa kombe kwa mara ya pili baada ya mechi kuvunjika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hili ndio soka la AFRICA aseee[emoji2813][emoji2813][emoji2813][emoji2813]
spain super cup inayokutanisha bingwa wa la liga na copa del rey wanacheza mbili