Mechi ya fainali Esperence vs Wydad casablanca yatuvua nguo waafrica.

Mechi ya fainali Esperence vs Wydad casablanca yatuvua nguo waafrica.

Ni sawa na hapa Bongo bingwa kuandaliwa hata kabla ya mechi, so hiyo hiyo klabu bingwa ya TZ ikishiriki tu michuano ya klabu bingwa "CAF" ni mwendo mdundo wa kula hamsa [emoji114] [emoji22]
Caf walimuandaa bingwa kuwa esperance, Ndio maana kombe la Dunia Africa ni kupigwa magoli kama kawaida
 
Sasa kwanini uendelee kucheza wakati unadhulumiwa haki yako??? We unaona walichofanyiwa Casablanca ni sahihi???
Achana nalo hilo lisikusumbue kabisa akili maana Mawatu mengine ni "mahaba niue kisoka" ambapo hata kama hakujatendeka haki ni lazima yatetea tu ujinga 7bu huongozwa na hisia zaidi kuliko akili pevu.
 
Hilo neno na ni aibu kwa CAF lakini tuseme AVR mbovu ingeweza pia kuwaokoa Casablaca kungetokea utata mimi maoni yangu pamoja na yote kutoka uwanjani ni kosa kubwa. Mimi nitakwambia tatizo lilianza mechi ya kwanza pamoja na kuwepo AVR wakasema refa hakuchezesha vizuri na CAF walivyokuwa wajinga wakamfungia yule refa wa Egypt miezi 6 hii ikajenga taswira kuwa refa mbovu nao wamekuja huku kosa moja tu la refa wamegoma kucheza kwa kuamini mbona yule alifungiwa wa kwanza. wenzetu kule juu hawafungii refa wanamnyima mechi tu muhimu kwa muda lakini hawamshtumu refa uadilifu wake huku ni kinyume. CAF ndio wawajibike katika sakata hili.
Si kweli, rejea mechi aliyobebwa Barcelona Vs PSG 6-1 pale Catalonia Mwaka ya hivi karibuni, tena Refa aliadhibiwa hadi kushushwa daraja na kuchezesha EUROPA badala ya UEFA tena.
 
Kiuhalisia Africa bado sana kimaendeleo.
Figisu za kijinga bado zinaitafuna africa.

Africa mpaka ifike huko ilipo ulaya nadhani bado sana na inatakiwa iendelee kutawaliwa na wazungu.

Uhuru ambao tunao bado ni ujinga mtupu.

Kwanini wasingetumia hata waamuzi watano, wawili nyuma ya magoli , wawili pembezoni mwa uwanja kama kawaida na mmoja wa kati, mambo yangeenda poa tu.

Kwa sisi Africa ushindi huwa ni wamezani hakuna mashindano ya maana wala yenye uhalali.

FAINALI MBILI NDIO UPUUZI ZAIDI.

BORA ZAIDI HATA INGECHAGULIWA NCHI MOJA WAPO MWANACHAMA WA CAF NDIO IKAFANYIKA FAINALI.

Kwann hawajiulizi huko ulaya hakuna fainali mbili?

Hawajui kuwa wenzao pia walipitia mambo kama hayo mpaka kufikia hatua ya kufanya maamuzi angalau sahihi?

Mambo ya miaka kama 100 yaliopita bado tuanayazingatia?

Aisee !!!!!
Inasikitisha sana Chifu
 
Tunahtaji final iwe 1 masuala ya kucopy kutoka America mara Spain hatuyaitaji kama match itapangwa kupigwa mkwakwani ipigwe huko huko sio masuala ya home na away hatuko kwenye group stage hii ni final
factor kubwa uchumi wetu mkuu.....asilimia kubwa ya mashabiki wa kiafrica hawamudu gharama za kusafiri

pata picha fainali inacheza yanga au simba na timu ya misri south africa alafu fainali inafanyikia misri

jiulize mashabiki wangapi wa timu zetu hizi za nyumban watamudu gharama za kwenda misri kushangilia timu yao
 
mpira bila mashabiki ni sawa na kusex na yule demu wa askofu gwa.... kimyakimya hainogi mzee baba
Mbona mashindano yana sponsor mzuri tu ambaye ni TOTAL na wameweka dau la kutosha? Kwani mashabiki wasipokuja wao linawausu nn? Marefa, mpaka waokota mipira wanalipwa na sponsor mbona kule Misri na Nchi nyingine za kiarabu kuna wakati mechi uwa zinachezwa bila mashabiki kabisa kwa sababu ya fujo zao lkn simpira uwa unachezwa? Wasituletee uzwazwa fainali ichezwe moja kwenye neutral ground ata wakiamua wawe wanapeleka uko dubai au falme za kiarabu ambapo juzijuzi walipeleka fainali ya ngao ya hisani.
 
factor kubwa uchumi wetu mkuu.....asilimia kubwa ya mashabiki wa kiafrica hawamudu gharama za kusafiri
pata picha fainali inacheza yanga au simba na timu ya misri south africa alafu fainali inafanyikia misri
jiulize mashabiki wangapi wa timu zetu hizi za nyumban watamudu gharama za kwenda misri kushangilia timu yao

Kwani ufahamu kua benchi la ufundi nao ni sehemu ya mashabiki?

Tunacho hitaji fainal ipigwe 1 na uwanja wa final utangaze kabla ya mashindano kuanza masuala ya kucheza final mbili ndio hatuyahitaji yamekwisha pitwa na wakati
 
factor kubwa uchumi wetu mkuu.....asilimia kubwa ya mashabiki wa kiafrica hawamudu gharama za kusafiri

pata picha fainali inacheza yanga au simba na timu ya misri south africa alafu fainali inafanyikia misri

jiulize mashabiki wangapi wa timu zetu hizi za nyumban watamudu gharama za kwenda misri kushangilia timu yao
Kwani CAF inategemea mapato ya mechi moja tu ya fainali? Mbona sponsor mkubwa tu Total na anatoa mpunga wa kutosha analipa mpaka waokota mpira. Ukusikia kuna mechi ilichezwa kule mbeya siku ile ile ilipokuwa inacheza Tanzania vs Uganda na mashabiki kule mbeya wakaingia tisa? Mbona mechi iliendelea na aliyeshinda akapewa points. Emu tuwe serious na michezo vinginevyo kuna siku tutapigana ngumi mpaka dunia itatushangaa.
 
point siyo mapato point ni radha ya mchezo na mashabiki wote wapate kitu roho inapenda..

kuna maana gani yakucheza bila mashabiki
Kwani CAF inategemea mapato ya mechi moja tu ya fainali? Mbona sponsor mkubwa tu Total na anatoa mpunga wa kutosha analipa mpaka waokota mpira. Ukusikia kuna mechi ilichezwa kule mbeya siku ile ile ilipokuwa inacheza Tanzania vs Uganda na mashabiki kule mbeya wakaingia tisa? Mbona mechi iliendelea na aliyeshinda akapewa points. Emu tuwe serious na michezo vinginevyo kuna siku tutapigana ngumi mpaka dunia itatushangaa.
 
Yaani tuko nyuma sana fainal zinachezwa mbili?

Manina zao caf
Inashangaza sana. Fainali mbili nyumbani na ugeni. Upambavu mtupu. Fainali ni Neutral ground,tena mechi moja tu. Hizi mechi 2 ni upuuzi mtupu,eti Home and Away, kupoteza ladha ya jina Final!
 
Back
Top Bottom