Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ingawa kwenye mpira lolote linaweza kutokea lakini kombe linakwenda Argentina.Sawa mkuu naona ubingwa utaenda kwa FRANCE..
Siandiki hili kishabiki Bali ni fact za kimpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa kwenye mpira lolote linaweza kutokea lakini kombe linakwenda Argentina.Sawa mkuu naona ubingwa utaenda kwa FRANCE..
Namwombea Ufaransa achukue kombeSitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
Utabiri mzuri mkuu 🤝🤝Lete maneno.
None senseeeee [emoji16][emoji119]
OyaMkuu
Umekosea Sana!
Argentina,uholanzi,England,ureno,croatia ni team za kawaida kama ilivyo morocco!
Timu za kiwango ni Brazil na ufaransa Hawa ndio wababe wa kweli!
Hata mimi sio mdau wa betting, hata sijui utaratibu wa kubet ukoje.Ungeweka mkeka wa maana kwa Muhindi SAA hizi tungekuwa tunafunguwa Champagne na warembo tu.
Sichezagi hizi betting ila fainali naweka mzigo Messi lazima ainuwe makwapa.
Huwa una akili sana na unasimamia fact.Ingawa kwenye mpira lolote linaweza kutokea lakini kombe linakwenda Argentina.
Siandiki hili kishabiki Bali ni fact za kimpira.
Sababu ni nini?Namwombea Ufaransa achukue kombe
Nampenda CR7,sasa nimehamia kwa MbappeSababu ni nini?
Ni kwamba unaipenda Ufaransa au unampenda Cristian Ronaldo.😃
Sio kweli umehamia kwa Mbappe😀 bali unasukumwa na roho ya chuki.Nampenda CR7,sasa nimehamia kwa Mbappe
Fact ni kwamba White South African siyo Waafrica ni wazungu, huu ndio ukweli msiotaka kuukubali kwa Morocco siyo Waafrica ni Waarabu na ni waislamu, wapo Africa kwa sababu ya Berlin Conference tu.
Kumbe ulishika mic kabisa, umetisha mama lao.Matola,
uhali gani Mkuu.
That is fact and is known since then....
These things happens due to political reasons (colonisation process and blah blah make them settled in Africa from Arab countries).
Geographical reasons, no matter what as long as their nationality is within Africa, they will be termed as Africans though they do not have melanin.
Biological reasons they are Arabs from their ancestors and the genetic history.....
Factors above lead them to be registered in world Cup as Africans, then wawe wapole tuu kuwa ni waafrica weupe aka bahati mbaya kuzaliwa Africa, same as Mulatos in SA.
Sifungamani na upande wowote, was just shabikia mpira with the world Cup vibe/trends.
Mic Down 🎤.
Kasinde.
Namwombea Ufaransa achukue kombe
Sio kweli umehamia kwa Mbappe😀 bali unasukumwa na roho ya chuki.
Ni kwamba unamchukia MESSI. Jumapili jiandae kupasuka, Messi anachukua ndoo ya kumwagilia bustsni zake anapoenda kustaafu.
Unaempenda kule Ureno kocha wake tayar keshampa barua ya kustaafu japo mwenyewe hapendi. Anaingia kipindi cha mwisho ina maana amefika mwisho.