Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Kesho Morocco mtawakataa kwa mvua wanayoenda kunyeshewa. Mpira wa kisasa hautaki janjajanja za kukaa nyuma na kuvizia.
Mkuu kwa Ufaransa Ile hapana, yaani wajukuu wa marehemu malkia walishindwa wao tu, France weupe sana na hata Kama wakipita huko mbele wanaenda kukalishwa na Messi 🐐
 
CHAGUZI NI MBILI; Uchague Kushinda Ukiwa Na Sisi AMA Ushuhudie Sisi Tukishinda 🇦🇷
 
Mkuu kwa Ufaransa Ile hapana, yaani wajukuu wa marehemu malkia walishindwa wao tu, France weupe sana na hata Kama wakipita huko mbele wanaenda kukalishwa na Messi 🐐
Uzoefu wa ufaransa, mpira wa kasi, mipira ya krosi pamoja na uwezo wa kupress wa wafaransa unaenda kuwamaliza kabisa Morocco kesho.
 
Kesho wa Morocco watatembea na mbappe tu kwisha habari
Sasa kama umewaangalia vizuri mtu hatari ni griezman, ametoa assist nyingi sana hata mechi ya england zote katoa yeye.

Mbappe atatumika kama decoy ili griezman na Dembele wampelekee Giroud kwenye kichwa.

Pia viungo wa ufaransa wanapiga miwa ya maana.
 
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.

Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali

Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.

Hapa naongelea kiufundi zaidi baada ya kuziona hizi timu kwa kuzingatia ubora pamoja na madhaifu yao.

Ile mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.

Sitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
We konyo sana, inaelekea hivyo aisee.
 
Back
Top Bottom