Mechi ya Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022 itakuwa kati ya Ufaransa na Argentina

Safari hii Brazil hawatokubali kuwa wateja tena!!

Ufaransa haina viungo wakukabiliana na wa Brazil!!

Ufaransa Wana washambuliaji tu na Beki wazuri!

Brazil Wana Beki,viungo na washambuliaji hatari sana!

Brazil atashinda Battle Kati Kati ya uwanja na Hapo Ndipo mechi itaamuliwa!!
Viungo hao wavunja kuni kina Fred ndo mlikua mnawategemea?
 
Fainali ni Arg Vs France.

Croatia lazima abatuliwe na Arg ndani ya dakik 90, vivyo hivyo Morocco atapigwa ndani ya dakik 90.

Mechi zote zilizobaki hazitakua na extra time(zile dakika 30) kwa maana hiyo hawatoenda matuta.

Labda ile ya Croatia Vs Morocco ndo inaweza kua na matuta.
 
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.

Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali

Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.

Hapa naongelea kiufundi zaidi baada ya kuziona hizi timu kwa kuzingatia ubora pamoja na madhaifu yao.

Ile mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.

Sitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
Umesahau chuma kingine, Croatia. Hao si watu wazuri wanaweza kuishangaza Dunia
 
Baada ya kuziangalia timu zote kwenye mechi zilizowapeleka robo fainali, imekuwa dhahiri kwangu kwamba fainali itakuwa kati ya timu hizo.

Brazil anaweza kumtoa Croatia ingawa sitarajii iwe hivyo. Argentina atamtoa Uholanzi kisha ataenda na kumtoa Brazil/Croatia kwenye nusu fainali

Ureno atamtoa Morocco kirahisi kuliko inavyodhaniwa. Ufaransa atamtoa uingereza halafu ataenda kumtoa ureno kwenye nusu fainali.

Hapa naongelea kiufundi zaidi baada ya kuziona hizi timu kwa kuzingatia ubora pamoja na madhaifu yao.

Ile mechi ya mtoano wa 16 bora pale urusi mwaka 2018 inaenda kujirudia kwenye fainali ya mwaka huu pale Qatar. France vs Argentina.

Sitegemei kama Argentina atakubali kufungwa mara ya pili. Ngojea tusubirie muda utatujibu.
Agentina anachukua ndoo
 
My friend ni Morocco vs Croatia. Lazima watu wa betting wawafilisi....na nasema wawafilisi hasa mpaka mkome wenyewe kuibiwa.
 
Back
Top Bottom