verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 2,930
- 5,913
Viungo hao wavunja kuni kina Fred ndo mlikua mnawategemea?Safari hii Brazil hawatokubali kuwa wateja tena!!
Ufaransa haina viungo wakukabiliana na wa Brazil!!
Ufaransa Wana washambuliaji tu na Beki wazuri!
Brazil Wana Beki,viungo na washambuliaji hatari sana!
Brazil atashinda Battle Kati Kati ya uwanja na Hapo Ndipo mechi itaamuliwa!!