Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

Afadhari sisi nyie mmegeuzwa kama chapati nyuma na mbele
Afadhali sisi tumepata goli moja tena katika hayo 6 ni jumla ya mechi 2 sio kama nyinyi mlipigwa kwenye mechi moja

Halafu magoli mawili tuliyofungwa ni ya penati wakati nyinyi yalikuwa ni msako kwa msako mpaka diarra wa miaka hiyo naskia gloves zilichanika
 
Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.

Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.

Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.

Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.

Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.

NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.

Nguvu moja [emoji881]
Simba ina wagonjwa wengi sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ziko wapi hizo 6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2572765
Hizi hapa
Screenshot_20230401-103613.png
 
Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.

Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.

Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.

Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.

Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.

NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.

Nguvu moja [emoji881]
Yamewapa ujasiri wa kufungwa
 
Consistency yako inanipa ujasiri pia wa kuamini tutafika mbali.

Mechi ya jana tumepoteza kwa makosa binafsi ya Onyango.

Tulikuwa na muda mrefu sana bila kufunikiwa penalty kwenye mechi za kimataifa lakini Onyango amekuwa mtoa penati.

Msimu uliopita Karim Konate alimgeuza Onyago uchochoro akasababisha penalty.

Kwenye hatua ya makundi mpaka sasa amesababisha penalty tatu katika mechi nane Onyango kasababisha penalty nne lakini katika mechi 10 Simba wamesababisha penalty sita.

ASEC Mimosas 2 penalties
De Agosto 1 penalty
Raja Casablanca 2 penalty
Horoya 1 penalty katika penalty sita nne zote kasababisha Onyango.

Hizi siyo takwimu nzuri kwa timu inayopigania makombe.
 
Upo sahihi mkuu
 
Mechi ya jana imetufundisha mengi

Mashabiki wetu hawajui shangilia

Wachezaji wetu ni wazito sana

Tununue wachezaji wenye mbio,

Tuweke mbele umri wa wachezaji

Msimu ujao panga kubwa lipite
 
Mechi ya jana imetufundisha mengi

Mashabiki wetu hawajui shangilia

Wachezaji wetu ni wazito sana

Tununue wachezaji wenye mbio,

Tuweke mbele umri wa wachezaji

Msimu ujao panga kubwa lipite
Wachezaji wenye mbio kama kisinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Afadhali sisi tumepata goli moja tena katika hayo 6 ni jumla ya mechi 2 sio kama nyinyi mlipigwa kwenye mechi moja

Halafu magoli mawili tuliyofungwa ni ya penati wakati nyinyi yalikuwa ni msako kwa msako mpaka diarra wa miaka hiyo naskia gloves zilichanika
Sisi tulipata goli 3 na hatukufungwa nyumbani na kama penalty sio goli Chama ana goli 3 mpka sasa
 
Pamoja na yote mpira uliopigwa na mnyama jana, itawachukua utopolo miaka isiyopungua 20 kucheza mpira kama ule,, lile pira ni level za Bayern munich
 
Back
Top Bottom