Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

Mechi ya jana imetupa ujasiri wana Simba

Jana nimeona team effort katika ukabaji ingawa bado una walakini. Wachezaji kwenye kukaba wana focus sana na mwenye mpira na kuwaacha wasio na mpira na kwa kuwa timu kama Raja inajua kupenyeza mipira, hilo ni tatizo. Hili linaweza kuwa tatizo la uelewa wa msingi wa jinsi sahihi ya kucheza football ila linaweza kufanyiwa kazi likapungua.

Jana Simba walikuwa na ball possession ya 38% lakini ukiangalia mchezo ulivyokuwa hawakuwa wamezidiwa kihivyo. Mipira ilikuwa inapotea kirahisi kabla hata haijafika katikati. Ila unapokuwa na wachezaji kama Saido na Nyoni ambao siyo wazuri katika kumiliki na kulinda mipira hilo litegemewe.

Ni muhimu Phiri arudi katika first 11 haijalishi kama Baleke ameonekana kuja juu. Anaweza akacheza kutokea kushoto. Hatumtendei haki na hatuitendei haki timu tunapomgeuza mchezaji wa akiba.

Tusikariri kuwa LB lazima awe mchezaji anayetumia mguu wa kushoto. Wachezaji wetu wengi wanaotumia kushoto, mguu wa kulia huwa ni mfu na hii ni disadvantage katika timu.
 
Nguvu moja [emoji881]
hili chama la msimbazi ni mfano wa kuigwa Africa. kuwa na muendelezo mzuri kwenye mashindano ya Caf katika kipindi kigumu kama hiki ni uwezo usioelezeka.

nyumbu fc baada ya kumchapa al shababu akaona eti kapiga mwarabu sasa yule wa champions league anayecheza na al ahly leo alimkumbusha kwamba hapaswi kuwepo kwenye mashindano ya mabingwa.

bingwa wa bongo ni simba tu. hawa wengine ni watoa rushwa na wapiga ramli tu na ndyo maana sasa hivi wanashirikiana na washiriki wenzao walioshindwa kupambana peke yao[emoji1]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wanatumia nguvu kubwa kujifariji wakati mechi zenyewe wanacheza na akina Bamako
 
Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.

Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.

Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.

Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.

Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.

NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.

Nguvu moja [emoji881]
jidanganye
 
Wale wanuka kinyesi walitamani hii rekodi ivunjwe . Ila bahati mbaya kwao haikuwa hivyo
20230401_115138.jpg
 
Mechi ya jana imetufundisha mengi

Mashabiki wetu hawajui shangilia

Wachezaji wetu ni wazito sana

Tununue wachezaji wenye mbio,

Tuweke mbele umri wa wachezaji

Msimu ujao panga kubwa lipite
Utasajili katikati ya mashindano?
 
Mpk ukutanae na anae jua zaidi yako ndio utagundua kipaji chako
Kiushindani [emoji881] bado lkn kiushabiki kelele ziendelee
 
hili chama la msimbazi ni mfano wa kuigwa Africa. kuwa na muendelezo mzuri kwenye mashindano ya Caf katika kipindi kigumu kama hiki ni uwezo usioelezeka.

nyumbu fc baada ya kumchapa al shababu akaona eti kapiga mwarabu sasa yule wa champions league anayecheza na al ahly leo alimkumbusha kwamba hapaswi kuwepo kwenye mashindano ya mabingwa.

bingwa wa bongo ni simba tu. hawa wengine ni watoa rushwa na wapiga ramli tu na ndyo maana sasa hivi wanashirikiana na washiriki wenzao walioshindwa kupambana peke yao[emoji1]

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Unatupigia kelele na techo yako
 
Nilishangaa sana baada ya kujua kumbe yanga wapo kwenye mashindano tofauti na simba😂😂😂😂😂 kazi kweli kweli na watu wanajitutumua kumlinganisha simba na yanga.

NB: sina ushabiki kwa timu yoyote nimeonyesha mshangao niliopata tu..
 
Back
Top Bottom