Afadhali sisi tumepata goli moja tena katika hayo 6 ni jumla ya mechi 2 sio kama nyinyi mlipigwa kwenye mechi mojaAfadhari sisi nyie mmegeuzwa kama chapati nyuma na mbele
Simba ina wagonjwa wengi sana.Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.
Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.
Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.
Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.
Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.
NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.
Nguvu moja [emoji881]
Hizi hapaZiko wapi hizo 6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2572765
Sina budi kuwapa pongezi mmcheza kikubwa sana ile mechi sema mabeki wamezingua kwa makosa ya kimchezoHakuna ubaguzi hapo, kuna watu wana makasiriko sana
Yamewapa ujasiri wa kufungwaWakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.
Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.
Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.
Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.
Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.
NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.
Nguvu moja [emoji881]
Consistency yako inanipa ujasiri pia wa kuamini tutafika mbali.Wakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.
Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.
Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.
Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.
Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.
NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.
Nguvu moja [emoji881]
Upo sahihi mkuuConsistency yako inanipa ujasiri pia wa kuamini tutafika mbali.
Mechi ya jana tumepoteza kwa makosa binafsi ya Onyango.
Tulikuwa na muda mrefu sana bila kufunikiwa penalty kwenye mechi za kimataifa lakini Onyango amekuwa mtoa penati.
Msimu uliopita Karim Konate alimgeuza Onyago uchochoro akasababisha penalty.
Kwenye hatua ya makundi mpaka sasa amesababisha penalty tatu katika mechi nane Onyango kasababisha penalty nne lakini katika mechi 10 Simba wamesababisha penalty sita.
ASEC Mimosas 2 penalties
De Agosto 1 penalty
Raja Casablanca 2 penalty
Horoya 1 penalty katika penalty sita nne zote kasababisha Onyango.
Hizi siyo takwimu nzuri kwa timu inayopigania makombe.
Moja ya sifa ya Mbumbumbu ni nani usahaulifuZiko wapi hizo 6 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2572765
Sawa endeleeni kupigwa nyuma na mbeleEmu oneni aibu basi, mnapata wapi ujasiri wa kuzungumzia champions league,, nyie kombe lenu ni la mbuzi komaeni tu huko huko, mcheze na vibonde wenzenu huku maji marefu hampawezi,,..
Na zile tatu za Raja hapa ni sawa na tisaKwa ugumu wa mechi ya Jana goli moja LA ugenini sawa na goli tatu
Wachezaji wenye mbio kama kisinda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mechi ya jana imetufundisha mengi
Mashabiki wetu hawajui shangilia
Wachezaji wetu ni wazito sana
Tununue wachezaji wenye mbio,
Tuweke mbele umri wa wachezaji
Msimu ujao panga kubwa lipite
Sisi tulipata goli 3 na hatukufungwa nyumbani na kama penalty sio goli Chama ana goli 3 mpka sasaAfadhali sisi tumepata goli moja tena katika hayo 6 ni jumla ya mechi 2 sio kama nyinyi mlipigwa kwenye mechi moja
Halafu magoli mawili tuliyofungwa ni ya penati wakati nyinyi yalikuwa ni msako kwa msako mpaka diarra wa miaka hiyo naskia gloves zilichanika
Itavunjwa na wao wenyewe 🤣😂🤣Rekodi ya 6 kwa 0 haitakaa ivunjwe