Jumla mlifungwa goli 9Sisi tulipata goli 3 na hatukufungwa nyumbani na kama penalty sio goli Chama ana goli 3 mpka sasa
6-0 yalikuwa magoli mengi sana tena mechi mojaMambo mengine bana mtu umepigwa 6 bado unasema umepiga mpira mwingi!
hili chama la msimbazi ni mfano wa kuigwa Africa. kuwa na muendelezo mzuri kwenye mashindano ya Caf katika kipindi kigumu kama hiki ni uwezo usioelezeka.Nguvu moja [emoji881]
Wanatumia nguvu kubwa kujifariji wakati mechi zenyewe wanacheza na akina Bamakohili chama la msimbazi ni mfano wa kuigwa Africa. kuwa na muendelezo mzuri kwenye mashindano ya Caf katika kipindi kigumu kama hiki ni uwezo usioelezeka.
nyumbu fc baada ya kumchapa al shababu akaona eti kapiga mwarabu sasa yule wa champions league anayecheza na al ahly leo alimkumbusha kwamba hapaswi kuwepo kwenye mashindano ya mabingwa.
bingwa wa bongo ni simba tu. hawa wengine ni watoa rushwa na wapiga ramli tu na ndyo maana sasa hivi wanashirikiana na washiriki wenzao walioshindwa kupambana peke yao[emoji1]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hlf jana walikua wanatamani rekod yao ivunjwe. Wameumbuka ππWale weusi koko walijiita waarabu ni kama nawaona...
Rekodi yao ya 6 kwa sufuri haitakaa ivunjwe
jidanganyeWakuu bila shaka mmejionea kilichotokea jana/leo kwanza niipongeze timu yangu ya Simba kwa mpira wa jana, Simba imepiga mpira mkubwa mno tena kwenye ardhi ya Mwarabu saa saba za usiku.
Note: Tunaposema Mwarabu ndio kama hawa Raja, Wydad, Al ahly, CR Belouzdad, Js Kabylie etc.
Sio Waarabu wa mchongo akina Club Africain, Us Monastir na wengine, tunaongelea giants of Africa. Binafsi matokeo ya jana ni sare ya bao 1-1 hayo mengine mtajua wenyewe na babu yenu, haiwezekani anatuchoma mara ya pili mtawalia.
Niongeze kwa kusema kwamba mechi ya jana imenipa confidence sana kama shabiki katika kuielekea robo fainali ya CAF champions league. Kwa pira tulilopiga jana ni dhahiri tunao uwezo wa ku-battle na magiant wengine waliopo kwenye hatua hii ya robo, na tumeonyesha dhahiri kwamba Horoya hakupigwa 7 kwa bahati mbaya, na pia tumeonyesha dhahiri kuwa hatupo nafasi ya nane kwa ubora Afrika kwa bahati mbaya.
Hivi wachambuzi mnaosema kila siku Simba mbovu huwa mnaangalia Simba ipi, mbona maneno yenu hayaakisi uhalisia? Anyways Simba tuna kitu na mwaka huu kwenye CAF Champion's League tutafikia malengo yetu ambayo ni Nusu Fainali au zaidi inshallah.
NB: Timu yako kama haishiriki CAF Super League basi uzi wangu achana nao.
Nguvu moja [emoji881]
Utasajili katikati ya mashindano?Mechi ya jana imetufundisha mengi
Mashabiki wetu hawajui shangilia
Wachezaji wetu ni wazito sana
Tununue wachezaji wenye mbio,
Tuweke mbele umri wa wachezaji
Msimu ujao panga kubwa lipite
Umezungumza kama mwanamichezoSina budi kuwapa pongezi mmcheza kikubwa sana ile mechi sema mabeki wamezingua kwa makosa ya kimchezo
kama ni nyumbani na ugenini mbona mlishafungwa mechi nyingi tu !!!! Hata ya vibonde Rivers utd ulishasahau?Sisi tulipata goli 3 na hatukufungwa nyumbani na kama penalty sio goli Chama ana goli 3 mpka sasa
Ball possession raja 62 - mbumbumbu 38 halafu unasema mmeupiga mwingi halafu unalazimisha matokeo ni 1-1 sio 3-1.Maneno bila takwimu ni uchizi.
View attachment 2572877
Hesabu ni ile ile 6
Unatupigia kelele na techo yakohili chama la msimbazi ni mfano wa kuigwa Africa. kuwa na muendelezo mzuri kwenye mashindano ya Caf katika kipindi kigumu kama hiki ni uwezo usioelezeka.
nyumbu fc baada ya kumchapa al shababu akaona eti kapiga mwarabu sasa yule wa champions league anayecheza na al ahly leo alimkumbusha kwamba hapaswi kuwepo kwenye mashindano ya mabingwa.
bingwa wa bongo ni simba tu. hawa wengine ni watoa rushwa na wapiga ramli tu na ndyo maana sasa hivi wanashirikiana na washiriki wenzao walioshindwa kupambana peke yao[emoji1]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hata makilikili bado nawakumbukakama ni nyumbani na ugenini mbona mlishafungwa mechi nyingi tu !!!! Hata ya vibonde Rivers utd ulishasahau?