Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Wapunguze masihara, wanacheza shiw game sana hawaoneshi njaa ya magoli

So far nimeona Al hilal inafungika hata kwao endapo Simba atajidhatiti na kujitoa vilivyo
Mechi ni ya kirafiki, al hilal wameichukulia kama fainali ya CL, wamesahau kuwa wanacheza football badala yake wanacheza "ndondiball"

Wachezaji wetu walipoligundua hilo wakaamua kufanya mazoezi ndani ya mechi na kilichotokea al hilal wakajua wametuweza

Ukitaka kulijua hilo, lifikirie kwa makini sana tukio la chama kumpa mpira mchezaji wa al hilal ili apige freekick ya simba, hapo utajua simba waliswitch mind na kuigeuza mechi kuwa mazoezi
 
sddefault.jpg

Wamekaza lakini wameshindwa kulipa
 
Barabarani mkuu 😃
Poleni mkuu msimu huu tena mnatoka kapa tena
Hii kwetu sisi ni mechi ya maboresho kuangalia wapi tunaweza ku9ngezea nguvu.

Haya yote tusingeweza kuyaona endapo kama tungecheza na timu ndogo za ligi kuu maana wao washazoea kulaumu TFF

Kilichotokea leo hapa uwanjani mnatakiwa mkichukue kama somo, mngekuwa ni nyinyi saizi mngekuwa mko ubalozi wa Sudan kuandamana kwa vitendo cha kinidhamu vilivyo fanyika.

Tume enjoy game, mchezo ulikuwa mzuri bila shaka leo Zoran alikuwa anaangalia eneo la ushambuliaji litakuwa na impact gani kwa kumuanzisha Dejan, na mwisho vipi wakicheza double pamoja na Phiri

Japo kuna wachezaji tegemezi waliokosekana lakini natumaini Zoran kuna jambo alilolona kiufundi ambalo atalitumia kama funzo next matches
 
Na wakati huo wakumbuke kuna wachezaji wengine hawapo
Wasiokwepo ni kwasababu ya kuitwa kwenye timu ya Taifa Stars katika mashindano ya CHAN, vipi upande wa timu ya Al Hilal wao hawana wachezaji walioitwa kwenye CHAN katika taifa lao la Sudan?
 
Back
Top Bottom