Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi naona ni upuuzi tuu sasa kwani wachezaji wanaimba wimbo wa Taifa wako attention useme mpira usipite ktkt ya miguu?.si wanacheza sasa how come iwe ishu mi naona wanaodiscus hayo mambo ni low IQ.Haya na Enonga kapigwa tobo, kwahiyo mtaitana kujadili au mtapotezea kwasababu aliyempiga gobo hachezei Yanga?
Wamelala mpaka muda huuModerator naomba mfanye marekebisho hiyo heading isomeke kimataifa
Kwakuwa nyie mmeshazamishwa nyama Huku kunako ety..!!Hii timu Utopolo watakufa nje ndani
Kuna moderator mmoja huwa naingia kwa ID yake kimya kimya. Sijui nirekebishe title?Wamelala mpaka muda huu
Kuna mda hata kocha simuelewi ujue bora team angebaki nayo matola tuNdio mpk sasa naona hiko kitu anaachaje kumtoa akamweka phiri ambae ameonyesha uwezo binafsi.
Kabisaa MAKOLOKOLO mwezangu toka Tandale, maana bila hivyo hakuna jinsi ya kujifariji baada ya kichapo ktk hii mechi ya leo [emoji1732][emoji1787]Hii timu Utopolo watakufa nje ndani
Huyo nae pia angewchezesha anaowapenda kina mkude hahahaKuna mda hata kocha simuelewi ujue bora team angebaki nayo matola tu
Mkuu acha dharau, walau ungeweka nusu yakeFT Yanga 0- 7 Al Hilal
CAF First round
Waligawana magoliFT Yanga 0- 7 Al Hilal
CAF First round
Kabisaa MAKOLOKOLO mwezangu toka Tandale, maana bila hivyo hakuna jinsi ya kujifariji baada ya kichapo ktk hii mechi ya leo [emoji23]FT Yanga 0- 7 Al Hilal
CAF First round
🤣🤣🤣 fundi upo jikoni fanya mamboKuna moderator mmoja huwa naingia kwa ID yake kimya kimya. Sijui nirekebishe title?