Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Mipira mingi inapotea eneo la kati
 
Zoran afanye mabadiliko fasta amuweke Phiri, hii mechi Dejan ishamkataa
 
Wacha wapate kagoli kamoja wasiruhusu lingine kufungwa nyumbani kwenu ni aibu sanaa hayo mambo hata sisi Simba hatujayazoea kabisa.
 
67'
Al hilal wanapiga shuti kali lakini Ally anaunyaka vilivyo
 
68'
Cross ya Dejan inakosa mmaliziaji
 
Back
Top Bottom