Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Duh.. Kisa?Kocha msaidizi wa Simba kapigwa kadi nyekundu, huyu ni msaidizi anayemfuata matola kwa cheo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.. Kisa?Kocha msaidizi wa Simba kapigwa kadi nyekundu, huyu ni msaidizi anayemfuata matola kwa cheo
sio kama ule wa Friends RangersMpira wa kufa na kupona huu mpk masumbwi tena
Jamaa wameikamia SIMBA kinomaIla sijapendezewa na vitendo vya kinidhamu kama hivi halafu kwenye mechi ya kirafiki
Naam [emoji847]Umeona ee best yani sisi tupo kwenye kila hali
Simba damu mimi we mzeeKumbe nawe ni simba
Refa ana balance huyo jamaa mwenye jezi number 15 alitatikwa red cardRefa ametoa kadi ya njano kama fair play kwa wachezaji wawili, Nelson Kapama kwa kitendo cha kumpiga kofi mchezaji wa Al Hilal
Na huyo mchezaji wa Al hilal ameoneshwa kadi ya njano kutokana na reaction aliyoichukua kwa kitendo alichofanyiwa na Nelson Kapama
Ndio maana halisi ya sports club..tunawaonyesha kwamba hata boxing tumoMpira wa kufa na kupona huu mpk masumbwi tena