Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa Al Hilal Vs Simba Sc

Dah mnanitamanisha jamani aisee sijui kwanini sijatoka huku ziwani
 
Nafikiri sub ya dejan kumuweka phiri itakuwa nzuri zaidi, namuona dejan kwenye game hajachangamka kama phiri.

Tamaa yangu ilikuwa kuwaona chama, okrah na okwa pamoja jamaa wanavitu nafikiri kutafuta magoli ndo kilichobaki.
#Nguvumoja
 
Sijui kocha wetu aliwaza Nini mpaka kuweka wachezaji wa akiba watatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…