Ushindi ushindi mshkaji wangu ujueMpaka matuta
Sijaenda popote ujue... Nipo nawaona mnavyoshangilia matutaa
HahahaaaaaHaya Kila la Kheri.
Kwa matuta mshikaji wanguLakini tumeshinda sisi mshkaji wangu ama nenee
Haha huyo ni shabiki wa kutumainiwa wa yanga ,shabiki kindaki ndakiUyo Uyo Mwanzo mwisho anawapa credit Yanga tuuh kanitia hasira mpka nataka Nitupe simu..
Simba wameshinda APA Amenyweaa ata utangazaji wake Umebadirika
Ni kweli tata, bhita ni bhita mura
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Simba bhanaa...
Ngoja ligi ianze uone kama watakuja kucomment hapa.Poa poa... Na ubingwa wenu pia wa mezani
Yaan nafurahi mnavyojifariji [emoji3]Walisema watatufunga nyingi dakika 90,
Simba hakuna timu
Siamini kama mmefikia hatua ya kushangilia penatUsihamishe goli, Yanga chaliiiiiiiiiii!!!!!!!!
Hahahaaaaa
Leo aibu njia nzima ntapita wapi na mabuti yangu haya
View attachment 573453
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyie hamjashinda jaman hata kwa hayo matutaKwa matuta mshikaji wangu
Kelele nyingiii mkuu... Mpira ni dakika 90Walisema watatufunga nyingi dakika 90,
Simba hakuna timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweliii
Acha tu kaka ake.Kwanini waguna