Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Sijaenda popote ujue... Nipo nawaona mnavyoshangilia matutaa
IMG-20160716-WA0014.jpg
 
Uyo Uyo Mwanzo mwisho anawapa credit Yanga tuuh kanitia hasira mpka nataka Nitupe simu..

Simba wameshinda APA Amenyweaa ata utangazaji wake Umebadirika
Haha huyo ni shabiki wa kutumainiwa wa yanga ,shabiki kindaki ndaki

Ukitaka kukereka zaidi ingetokea yanga wamepata bao sasa namna atakavyoitamka hiyo goooooooooal na mbwembwe kibao ,
 
Woraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......simba oya oya.......oyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Wapi lara 1 leo kigoma cha uruguay kinakuhusu
 
Eti ndiyo kikosi cha 1.5bilion, yaani majanga matupu!
 
Back
Top Bottom