Tutakuja jaman tutaenda wapi sasaNgoja ligi ianze uone kama watakuja kucomment hapa.
Wala sio hivyo, mngeshinda kwenye dakika 90 sasaYaan nafurahi mnavyojifariji [emoji3]
ACHA HIVYO WEWE! HUU MCHEZO HAUTAKI HASIRA! PAMBANA NA HALI YAKO!!!
Siweziiii lia hivyo babu... Ningelia ingekuwa ndani ya dakika 90.... Ila Hongeraa
Si kimekutoboa au ulikuwa unataka vingapiEti ndiyo kikosi cha 1.5bilion, yaani majanga matupu!
Wala sikucheki wewe mkuu. Nawacheka mashabiki wa simba wanavyofurahia penalti.Unanicheka eeh?
Walijitamba sana Hawa, kumbe Hadi matutaKelele nyingiii mkuu... Mpira ni dakika 90
Wewe ukubali tu umepata stress.Sasa wewe ucheze kwa dakika 93 huku Refa anawabeba....mnaacha kufunga na kushabikia ushindi halali badala yake unafurahia ushindi wa penalty?
Sio AIBU?
Wala sikucheki wewe mkuu. Nawacheka mashabiki wa simba wanavyofurahia penalti.
Mbwebwe zoote hamna kitu. Lol
Wanasubiriaga mechi ya yanga tuu hawa...Ngoja ligi ianze uone kama watakuja kucomment hapa.
Mlifikiri kwenye dakika 90, mngetufunga kirahisi hivyoMbona nyie hamjashinda jaman hata kwa hayo matuta
Kweli kabisa yamebaki majina tu.Umeona eeh?
Yaani hawaamini kilichotokea. Na ubingwa wa ligi kuu watausubiri sana aiseeMlifikiri kwenye dakika 90, mngetufunga kirahisi hivyo
Mkuu, hii ni kauli ya kuidhalilisha Yanga. Ina maana Yanga nao walikuwa wanategemea kufungwa nyingi?Walisema watatufunga nyingi dakika 90,
Simba hakuna timu
Leo kunyimwa ni lazima, uje kwa adabuu