Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

ACHA HIVYO WEWE! HUU MCHEZO HAUTAKI HASIRA! PAMBANA NA HALI YAKO!!!
images
 
Sasa wewe ucheze kwa dakika 93 huku Refa anawabeba....mnaacha kufunga na kushabikia ushindi halali badala yake unafurahia ushindi wa penalty?

Sio AIBU?
Wewe ukubali tu umepata stress.
Sasa unaona Yanga ni timu ambayo ulitaka tuifunge kirahisi kama gulioni fc?
Hiyo ni Dar Derby na huwa haijalishi umeshinda kwa style gani ili mradi umkoseshe mtani wako raha inatosha.
Soka la hizo timu linachezwa ndani na nje ya uwanja na ndo upinzani wenyewe , ndo maana hata chini ya bahari au
hata mochwari watu wanaenda ili mradi umkoseshe raha mtani wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom