Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Jikite kwenye game ya leo .Mkuu hata tukiweka mechi za jumla bado Mikia FC wanakimbizwa vibaya mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye game ya leo .Mkuu hata tukiweka mechi za jumla bado Mikia FC wanakimbizwa vibaya mno.
Ha! Ha! Ha! Mjomba wewe meza tu kama ulivyoambiwa .Hivi hawa Azam hii HD yao ni ya namna gani?
Na ingekuwa siyo HD ingekuwaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu maana sisi wana Yanga diclopar na glucose havipo mbali na sisi....
WoiiiiiiiHapa ni jicho kwa jichoo
Kila la heri mnyamaaaaGame imeaaaaanza,Simba nguvu mojaaaaaaa
Ha! Ha! Ha! Mjomba wewe meza tu kama ulivyoambiwa .
Duh naona Yanga wamekomaa balaa, kuna hatari ya kufungwa leo
Tatizo la simba ni wachezaji mangalangala , Okwi wa miaka 40 hawezi kuwa okwi wa miaka 26Duh naona Yanga wamekomaa balaa, kuna hatari ya kufungwa leo
Nini sasaaaWoiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikutegemea kukukuta huku ujue nacheka sanaNini sasaaa
We refa usitoe kadi nyekundu kwa Simba...hatutaki lawama kuwa wameonewa!
Tunataka tuwafunge kwa haki hawa Simba!
Cyo COMMUNITY SHIELD mzee.. Hii ni ngao ya jamiiWakuu, mwenye link ilioandaa pambano la SIMBA na YANGA leo yaani LIVE STREAM naiomba
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sikutegemea kukukuta huku ujue nacheka sana