Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Mechi ya Ngao ya jamii, Yanga 4-5 Simba

Duh naona Yanga wamekomaa balaa, kuna hatari ya kufungwa leo
 
We refa usitoe kadi nyekundu kwa Simba...hatutaki lawama kuwa wameonewa!
Tunataka tuwafunge kwa haki hawa Simba!
 
Msivunje viti na leo.
822267e0af72586199cfd03832682f55.jpg


Sisi wenyewe tutawaangalia majirani. Piga simba haooo..
 
Back
Top Bottom