Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MpiraSimba wamecheza nini Jana?????
We mama, Iie fainali yenu na USM Alger uliathiriwa na aggregate au kitu gani? Wakili msomi halafu unakuwa low thinking kama Mwijaku?Walikutana pipa na mfuniko...wote wabovu tu. Ni kama Kagera Rangers ilikuwa inacheza na Messina. Aggregate FC imesharudi? Ha ha ha ha ha
Mkuu, mimi sio mama bwana...tuheshimiane. Kubalini tu kuwa Simba hamko vizuri. Wazee wa sare..We mama, Iie fainali yenu na USM Alger uliathiriwa na aggregate au kitu gani? Wakili msomi halafu unakuwa low thinking kama Mwijaku?
Sare ndo zilifanya tukukande kwenye ngao ya jamii. Ni sare hizo hizo ndo zilifanya ukakosa kombe pale Algeria. Au USM Algiers hawakukushinda kwa aggregate?Mkuu, mimi sio mama bwana...tuheshimiane. Kubalini tu kuwa Simba hamko vizuri. Wazee wa sare..
USM Algiers alikufa kwake. Yanga haikutoa sare pale. Mechi zote mbili za fainali hazikuwa na sare.Sare ndo zilifanya tukukande kwenye ngao ya jamii. Ni sare hizo hizo ndo zilifanya ukakosa kombe pale Algeria. Au USM Algiers hawakukushinda kwa aggregate?
Utakuwa unauza 'ndogo' wewe, maana siyo kwa brain ndogo uliyonayo. Kwahiyo mwisho wa siku hiyo fainali yenu haikuamuriwa kwa aggregate?USM Algiers alikufa kwake. Yanga haikutoa sare pale. Mechi zote mbili za fainali hazikuwa na sare.
Mkuu, matusi yanafuata nini hapa? Kama huna uwezo wa kujenga hoja bila matusi, baki kimya ndugu. Wengine hatukujawa na matusi mioyoni mwetu. Soka halihitaji matusi na hasiraUtakuwa unauza 'ndogo' wewe, maana siyo kwa brain ndogo uliyonayo. Kwahiyo mwisho wa siku hiyo fainali yenu haikuamuriwa kwa aggregate?
Ndo maana nilikuita wewe ni Mama. Wanawake wakiwa kwenye 'siku zao' huwa hawafikirii sawa sawa. Umevaa taulo ya kike kwanza?
Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.Mkuu, matusi yanafuata nini hapa? Kama huna uwezo wa kujenga hoja bila matusi, baki kimya ndugu. Wengine hatukujawa na matusi mioyoni mwetu. Soka halihitaji matusi na hasira
Afadhali ukutane na mamelody kuliko muarabu,muarabu anatafuta matokeo always huwezi ona uchezaji mzuri/mchezo Mzuri kamwe they only want to move to next roundTechnical game ile wewe
Light Yanga wangekuelewa. Kwakuwa Simba aliweza kuwacontain, basi wao wanawaona kama mbovu.Al ahly sio wabovu.sema SIMBA NI BORA
Mkuu, I was not serious...ulikuwa ni utani wa Simba na Yanga tu. Samahani kwa hilo kama nimekukwaza. Pamoja!Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.
Kama matokeo hayo hapo juu ni droo 👆 mtu mwenye akili yake timamu anaanzaje kuicheka Simba kwa matokeo ya 2 - 2 home na baadae 1 - 1 away?
Haya, hoja ipi unayotaka nijenge zaidi ya hiyo?
We waache tu.si watakuja kucheza nao hapa.tuombe uzimaLight Yanga wangekuelewa. Kwakuwa Simba aliweza kuwacontain, basi wao wanawaona kama mbovu.
Mpira sio fani yako, I think ungejiendeleza kwenye matusi ndio unapaweza zaidiUtakuwa unauza 'ndogo' wewe, maana siyo kwa brain ndogo uliyonayo. Kwahiyo mwisho wa siku hiyo fainali yenu haikuamuriwa kwa aggregate?
Ndo maana nilikuita wewe ni Mama. Wanawake wakiwa kwenye 'siku zao' huwa hawafikirii sawa sawa. Umevaa taulo ya kike kwanza?
Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.Mkuu, matusi yanafuata nini hapa? Kama huna uwezo wa kujenga hoja bila matusi, baki kimya ndugu. Wengine hatukujawa na matusi mioyoni mwetu. Soka halihitaji matusi na hasira
We mpuuzi umekuja hapa kumtetea mumeo. Kubishana nibishane na mwingine, wewe unaingilia kutafuta nini?Mpira sio fani yako, I think ungejiendeleza kwenye matusi ndio unapaweza zaidi