Mechi ya Simba na Al Ahly ni kama ilikuwa maigizo

Walikutana pipa na mfuniko...wote wabovu tu. Ni kama Kagera Rangers ilikuwa inacheza na Messina. Aggregate FC imesharudi? Ha ha ha ha ha
We mama, Iie fainali yenu na USM Alger uliathiriwa na aggregate au kitu gani? Wakili msomi halafu unakuwa low thinking kama Mwijaku?
 
USM Algiers alikufa kwake. Yanga haikutoa sare pale. Mechi zote mbili za fainali hazikuwa na sare.
Utakuwa unauza 'ndogo' wewe, maana siyo kwa brain ndogo uliyonayo. Kwahiyo mwisho wa siku hiyo fainali yenu haikuamuriwa kwa aggregate?

Ndo maana nilikuita wewe ni Mama. Wanawake wakiwa kwenye 'siku zao' huwa hawafikirii sawa sawa. Umevaa taulo ya kike kwanza?
 
Ila hawa waarabu wa misri pamoja na vilabu vyao na timu Yao ya taifa kuwa na rekodi nzuri afrika huwa hawafanyi vizuri Kwenye World Cup au club World Cup sababu wanabebwa sana kwavile caf ipo Cairo .
Rejea Senegal alivyompiga Egypt Kwenye afcon na World Cup qualification.
Katika waarabu wenye nguvu ya halali kisoka ni Morocco na Algeria .
 
Utakuwa unauza 'ndogo' wewe, maana siyo kwa brain ndogo uliyonayo. Kwahiyo mwisho wa siku hiyo fainali yenu haikuamuriwa kwa aggregate?

Ndo maana nilikuita wewe ni Mama. Wanawake wakiwa kwenye 'siku zao' huwa hawafikirii sawa sawa. Umevaa taulo ya kike kwanza?
Mkuu, matusi yanafuata nini hapa? Kama huna uwezo wa kujenga hoja bila matusi, baki kimya ndugu. Wengine hatukujawa na matusi mioyoni mwetu. Soka halihitaji matusi na hasira
 
Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.

Kama matokeo hayo hapo juu ni droo 👆 mtu mwenye akili yake timamu anaanzaje kuicheka Simba kwa matokeo ya 2 - 2 home na baadae 1 - 1 away?

Haya, hoja ipi unayotaka nijenge zaidi ya hiyo?
 
hawana tofauti na Yikpe wa Yanga, kama nyie mko bora mbona mlishindwa kuendelea hadi mmetolewa?
 
Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.

Kama matokeo hayo hapo juu ni droo 👆 mtu mwenye akili yake timamu anaanzaje kuicheka Simba kwa matokeo ya 2 - 2 home na baadae 1 - 1 away?

Haya, hoja ipi unayotaka nijenge zaidi ya hiyo?
Mkuu, I was not serious...ulikuwa ni utani wa Simba na Yanga tu. Samahani kwa hilo kama nimekukwaza. Pamoja!
 
Angalia hii chura hapa
FB_IMG_1698229037916.jpg
 
Utakuwa unauza 'ndogo' wewe, maana siyo kwa brain ndogo uliyonayo. Kwahiyo mwisho wa siku hiyo fainali yenu haikuamuriwa kwa aggregate?

Ndo maana nilikuita wewe ni Mama. Wanawake wakiwa kwenye 'siku zao' huwa hawafikirii sawa sawa. Umevaa taulo ya kike kwanza?
Mpira sio fani yako, I think ungejiendeleza kwenye matusi ndio unapaweza zaidi
 
Mkuu, matusi yanafuata nini hapa? Kama huna uwezo wa kujenga hoja bila matusi, baki kimya ndugu. Wengine hatukujawa na matusi mioyoni mwetu. Soka halihitaji matusi na hasira
Tatizo mnakera. Na nidhani kweli pale klabuni kwenu wenye akili ni wawili tu. Imagine mtu msomi kama wewe hujui kuwa matokeo ukiyajumlisha unapata droo, na mshindi hapa kwa vyovyote alipatikana kwa aggregate: Young Africans 1 - 2 USM Algiers + USM Algiers 0 - 1 Young Africans.

Kama matokeo hayo hapo juu ni droo 👆 mtu mwenye akili yake timamu anaanzaje kuicheka Simba kwa matokeo ya 2 - 2 home na baadae 1 - 1 away?
Mpira sio fani yako, I think ungejiendeleza kwenye matusi ndio unapaweza zaidi
We mpuuzi umekuja hapa kumtetea mumeo. Kubishana nibishane na mwingine, wewe unaingilia kutafuta nini?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom