Mechi ya Simba na Asec ni Muhimu mno kwa simba na ni Nyumbani. Hakuna kocha mwingine kuipeleka timu zaidi ya Mgunda

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.

Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji.

Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba ilishamshinda kitambo.

Hakuna kocha yoyote mwenye akili apewe timu leo kesho mechi muhimu. Hii timu Apewe Mgunda sasa. Ili aanze maandalizi mapema. Au basi apewe MOROCO. tofauti na hapo hakuna kitakachofanyika. Cadena haiwezi simba. Ni kuuuubwa mno kwake
 
Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc , sasa nashangaa yuko simba
 
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.

Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji.

Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba ilishamshinda kitambo.

Hakuna kocha yoyote mwenye akili apewe timu leo kesho mechi muhimu. Hii timu Apewe Mgunda sasa. Ili aanze maandalizi mapema. Au basi apewe MOROCO. tofauti na hapo hakuna kitakachofanyika. Cadena haiwezi simba. Ni kuuuubwa mno kwake

Mkuu Viongozi wa Simba ni kama kenge hawasikii. Wakati timu ipo vibaya wanamrudisha Matola. Matola ana kipi jipya?. Ngoja Yanga atawale mpaka tutakapopata Viongozi wa maana.
 
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.

Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji.

Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba ilishamshinda kitambo.

Hakuna kocha yoyote mwenye akili apewe timu leo kesho mechi muhimu. Hii timu Apewe Mgunda sasa. Ili aanze maandalizi mapema. Au basi apewe MOROCO. tofauti na hapo hakuna kitakachofanyika. Cadena haiwezi simba. Ni kuuuubwa mno kwake

Uko sahihi
 
Ili mje kumpa lawama mzee wa watu na jeans yake? Pambaneni wenyewe baba wa watu ana familia pia.

Ninavyoisubiri hiyo mechi kuliko yetu na wale Waalgeria, nitaangalia kwenye TV Yanga, Simu Simba… no way!
Kwani zote muda mmoja?
 
Mshapanic,kuanzia viongozi mapaka wachezaji na kumbukeni asec ni timu inayo sheheni vijana wenye umri mdogo na wenye talent,mkijichanganya mkawa mnapoteza mipira na kukabia macho zile za Jpili zinakuwa mara mbili.
 
Mna utani na mpira ninyi yaani Mgunda awapeleke makundi ya CAF mkifungwa mnaanza kulalamika wachezaji wamewahujumu wakati kocha ni wa kiwango cha kawaida mno..
 
Ya yanga itakuwa saa 4 usiku
IMG_3637.png

Hii ratiba niliyonayo ndio ilinipoteza, bora umenifahamisha na kumbe hadi tarehe za mechi ni tofauti pia.
Kilimbatz
 
Waliangalia kitonga(wa kumpa mshahara mdogo).Hii ipo Simba peke yake janja janja fc
Waliangalia mazoezi mapya. Anatakiwa kuwa kocha wa viungo wa makipa na sio kocha kamili. Toka aje Simba makipa wanakuwa wabovu. Hajui kuandaa makipa zaidi ya kuwachosha tu
 
Mgunda ameshawaambia hataki tena kazi zisizo na mkataba!!, Amewaambia Kama wanamtaka waje na mkataba wa miaka 2 na masharti yao nae awape take vinginevyo waendelee na day workers wao kina Cadena.
nasikia wamemuingiza kati ya walioisaliti simba ndio maana wamenyima timu
 
Back
Top Bottom