Al Zagawi
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 2,508
- 1,566
Simba na Azam ni ndugu...Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc , sasa nashangaa yuko simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba na Azam ni ndugu...Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc , sasa nashangaa yuko simba
Ooh,ok ,ndio maanaSimba na Azam ni ndugu...
Undugu wa kupeana vitu vibovu.Ooh,ok ,ndio maana
Kama alivyo mbovu Cadena, ndivyo Simba na management yake walivyo wabovu.Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc , sasa nashangaa yuko simba
Kabisa mkuu, tuwaombee heri Asec.Asec Mimosa wasiniangushe
HahahahahaKama alivyo mbovu Cadena, ndivyo Simba na management yake walivyo wabovu.
Na kusikia kwa Kenge ni mpaka damu imtoke masikioni.Mkuu Viongozi wa Simba ni kama kenge hawasikii. Wakati timu ipo vibaya wanamrudisha Matola. Matola ana kipi jipya?. Ngoja Yanga atawale mpaka tutakapopata Viongozi wa maana.