William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc , sasa nashangaa yuko simbaTuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.
Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji.
Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba ilishamshinda kitambo.
Hakuna kocha yoyote mwenye akili apewe timu leo kesho mechi muhimu. Hii timu Apewe Mgunda sasa. Ili aanze maandalizi mapema. Au basi apewe MOROCO. tofauti na hapo hakuna kitakachofanyika. Cadena haiwezi simba. Ni kuuuubwa mno kwake
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.

Waliangalia kitonga(wa kumpa mshahara mdogo).Hii ipo Simba peke yake janja janja fcSimba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc , sasa nashangaa yuko simba
Ina wa cost sasa, timu kubwa ina cleensheets 2 tu .Waliangalia kitonga(wa kumpa mshahara mdogo).Hii ipo Simba peke yake janja janja fc
Tuseme tu ukweli. Mgunda alipewa timu Airport. Akaenda akawatwanga Nyasa big Bulet kwao. Baadae Akapata ushindi thidi ya Prison Ugenini baada ya Muda mrefu mno simba kufanya hivyo.
Viongozi waache maslahi yao binafsi chini. Waache kuwaza upigaji.
Cadena hajawahi kuwa kocha. Matola Simba ilishamshinda kitambo.
Hakuna kocha yoyote mwenye akili apewe timu leo kesho mechi muhimu. Hii timu Apewe Mgunda sasa. Ili aanze maandalizi mapema. Au basi apewe MOROCO. tofauti na hapo hakuna kitakachofanyika. Cadena haiwezi simba. Ni kuuuubwa mno kwake
Asec Mimosa wasiniangusheYetu macho
Kwani zote muda mmoja?Ili mje kumpa lawama mzee wa watu na jeans yake? Pambaneni wenyewe baba wa watu ana familia pia.
Ninavyoisubiri hiyo mechi kuliko yetu na wale Waalgeria, nitaangalia kwenye TV Yanga, Simu Simba… no way!
Ya yanga itakuwa saa 4 usikuIli mje kumpa lawama mzee wa watu na jeans yake? Pambaneni wenyewe baba wa watu ana familia pia.
Ninavyoisubiri hiyo mechi kuliko yetu na wale Waalgeria, nitaangalia kwenye TV Yanga, Simu Simba… no way!
Kwahiyo hii yako hapo juu siyo sahihi?View attachment 2811235
Hii ratiba niliyonayo ndio ilinipoteza, bora umenifahamisha na kumbe hadi tarehe za mechi ni tofauti pia.
Kilimbatz
Siyo, ingia Google Mkuu utapata ratiba kamili na kwa usahihi.Kwahiyo hii yako hapo juu siyo sahihi?
Waliangalia mazoezi mapya. Anatakiwa kuwa kocha wa viungo wa makipa na sio kocha kamili. Toka aje Simba makipa wanakuwa wabovu. Hajui kuandaa makipa zaidi ya kuwachosha tuWaliangalia kitonga(wa kumpa mshahara mdogo).Hii ipo Simba peke yake janja janja fc
nasikia wamemuingiza kati ya walioisaliti simba ndio maana wamenyima timuMgunda ameshawaambia hataki tena kazi zisizo na mkataba!!, Amewaambia Kama wanamtaka waje na mkataba wa miaka 2 na masharti yao nae awape take vinginevyo waendelee na day workers wao kina Cadena.