Ila kiukweli waziri wa Michezo anatakiwa ajiuzulu au Mama amundoe tu ili iwe fundishoMambo ya ajabu sana haya,mimi ni Simba ila Mamlaka zimechemka sana leo...serious shughuli ya pale kwa mzee Ruksa ilete taharuki hii!!?
Cuz Watanzania wengi wameboreka sana leo, Serikali inaenda kulala leo bila baraka za watu wake.
Jibu swali.Saa mbovu=kichwa kibov
Hakuna kanuni sema kulikuwa na strong reason.Mechi ya Yanga na Azam mabadiliko ya muda yalifuata kanuni zinazoongoza mpira, Ila hii ya Leo hapana haikubaliki popote.
Mshana kunatofsuti ya mechi na derby ...derby instension Sana inahitaji unakini mkubwa kushughulika nayo leo tff wamezingua aisee mimi na usimba wangu lakini yanga nimewaunga mkono kwenye msimamo waoMechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Just kiding...I hope hauko siriaz.
Kariakoo derby ni brand ya ligi nzima halafu mtu anaichezea hovyo hovyo namna hii.Ila kiukweli waziri wa Michezo anatakiwa ajiuzulu au Mama amundoe tu ili iwe fundisho
Kuna mwaka (sikumbuki mwaka gani) Simba na Yanga walikubaliana wagomee mechi yao ya kutafuta mshindi wa tatu Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati iliyokuwa ifanyike Uwanja wa Taifa (Sasa Uwanja wa Uhuru). Simba waliwasaliti wenzao kwa kupeleka timu Uwanjani na kusababisha Yanga iadhibiwe.Simba hata kipindi cha mkataba wa azam tv Yanga walikomaa maslahi madogo simba wakaunga mkono juhudi,simba inapofika sehemu kujitoa uwa wanakua kama paka
Acha uongo wew mzee hizo mechi ziliahirishwa kwa zaidi ya masaa 24.Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
[emoji57][emoji57][emoji57]
Bongo Sihami
Achana nayo hayo mapaka kazi yao kuroga tu, yanahororoja tu bila factAcha uongo wew mzee hizo mechi ziliahirishwa kwa zaidi ya masaa 24.
Huu uongo ni kwa faida ya Nani?
View attachment 1778077View attachment 1778078View attachment 1778079
Matako weweWe kenge jishikilie mi siyo size yako
Pumbavu mkubwaNamheshim sana ila wanaume wanawadharau sana wanawake.Bashungwa amesababisha hasara kubwa sana na anajua mama hamfanyi kitu
Hahahaha jana pia walitengua sheria ya kukagua kazi za wasanii BASATA.Huyu waziri ni mpumbavu sana ndio maana kazidiwa akili hata na Ney wa Mitego.
Kufata kanuni ndio uadilifu!Yanga wamepata kisingizio!
Mbona wenzao hawana noma?!
Hapana mkuu si vyema kuwa na mtazamo huu boss wangu.Haya ndo madhara ya kuongozwa na mwanamke
Pamoja mtani.TFF wanazngua yanga wapo sawa povu rukusa bt me n shabiki wa simba
Mechi ilitolewa taarifa tar 21 siku nne kabla ya mechi ambayo ilikuwa tar 25.Mbona YANGA Vs AZAM hawakugoma leo iweje. Na siyo hiyo match tu.
Taarifa ilitolewa mapema kabisa siku nne kabla ya mechi.Mkuu ata hiyo walitakiwa kugoma coz kanuni na sheria znasemaje? Tusiongozwe na mihemuko mkuu tufate sheria...!!
Sheria na kanuni weka pembeni ushabiki.Yanga imejali maslahi yake bila kujali maslahi ya washabiki
Watu wamesafiri kutoka mikoani, wametumia gharama, wamepoteza muda wao zaidi ya saa 12
Ila wao hayo masaa 2 wameona la maana Sana zaidi ya hisia za washabiki wao
Wao wanahisi huo msimamo wao utawasaidia Nini? wametutia simanzi kwa kweli
Kapiga na goal tatu kapewa na mpira kabisa.Hahahhahahha Leo TFF ndo man of the match
Ndio kwema?
TFF nawaona wote ni vichwa vichafu boss.
Tusubiri tuone wangapi watachukuliwa hatua kwa kuleta taharuki.