Hiyo taarifa unayoiongelea iliyotolewa tarehe 21 ilikuwa ni kusogeza muda wa mchezo kutoka saa 10 jioni kwenda saa 1 jioni. Taarifa ya mara ya pili ya kusogeza muda tena kutoka saa 1 jioni kwenda saa 2 na robo usiku ilitolewa siku ile ile ya mchezo.Mechi ilitolewa taarifa tar 21 siku nne kabla ya mechi ambayo ilikuwa tar 25.
Nawaza tu wanavyomchukulia mama yetu mkuu.Wanamdharau sana sema hajui tu.Hapana mkuu si vyema kuwa na mtazamo huu boss wangu.
Unanitukana mimi nikujibu auPumbavu mkubwa
Tutamlinda mama kwa nguvu zetu zoteee
Ole wa mtu amguse tutadili nae papendicular
Tutawanyoosha washenz Kama nyie
Wachache watakuelewa.Kufata kanuni ndio uadilifu!
Pole sana mkuuNimetoka Kigoma kwa Treni harafu mchezo uahirishwe kizembe, hawajatenda haki, na viingilio vyetu sijui itakuwaje
..Kichwa kichafu