Hiyo taarifa unayoiongelea iliyotolewa tarehe 21 ilikuwa ni kusogeza muda wa mchezo kutoka saa 10 jioni kwenda saa 1 jioni. Taarifa ya mara ya pili ya kusogeza muda tena kutoka saa 1 jioni kwenda saa 2 na robo usiku ilitolewa siku ile ile ya mchezo.Mechi ilitolewa taarifa tar 21 siku nne kabla ya mechi ambayo ilikuwa tar 25.