Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa kama simba angekutana na zalan basi simba ingefungwa goli zaidi ya tatu na zalan maana wale jamaa wanapiga mpira sio mchezo si ndio mwananchi.Ile timu ni mbovu! Na hata rekodi zake kwenye haya mashindano ni za kusikitisha. Hivyo siwapi kabisa nafasi.
Ninachofahamu kama mwanamichezo, wakija Bongo wanaweza hata kufungwa goli zaidi ya 3, iwapo tu watakosa nidhamu ya mchezo.
Hapa unaongelea Simba ipi labda.? Tuanzie hapoHii ni taa ya tahadhari,
Big Bullet walifungwa kwao goal mbili kwa bila, lakini haimaanishi ni wabovu. Matokeo yao hayo yalichagizwa pia na uwanja wao wenyewe, siyo mzuri Sana Kama ule wa Mkapa.
Uwanja wa Taifa ni mzuri kiasi kwamba team yeyote inaweza kuutumia. Mechi ya marudiano kati ya Simba na Big Bullet itakuwa na matokeo ya kikatili Sana kwa team mojawapo, kati ya Simba au Big Bullet kwasababu zifuatazo:-
1. Simba anaingia kwenye mchezo huu akiwa hana pressure ya mechi na kutokana na sifa zitakazochagizwa na mashabiki plus wachambuzi nchini, hii itatoa mwanya kwa wageni kujituma zaidi kwa uchungu wa kuforce kufuzu
2. Big Bullet ni wazuri bado, zile Tambo za mashabiki adui wa Simba kwamba Simba kashinda team ya kawaida Sana, usiwapumbaze wachezaji na benchi la Ufundi.
3. Muda waliocheza Big Bullet, saa tisa mchana uliwa cost wenyewe, walizani wanacheza na waarabu, sasa kwa asili ya team zetu nchini, mechi hii kivyovyote itakuwa jioni muda tulivu, hivyo kuna maajabu yanaweza kutokea.
4. Shamla za Mashabiki wa team ya Simba zitawatia nguvu Big Bullet kujitutumua zaidi ili wasiaibike mara mbili, huenda wakatolewa kwa aggregate ya tofauti ndogo Sana ama kwa penalty
NB: Maajabu ya mpira wa miguu siyo mageni sana, tuombe tarehe yenyewe ifike.
Simba inatakiwa kufanya bidii kuliko wakati wowote na wasibweteke kabisa, huenda ikawasaidia kufuzu.
Benchi la Ufundi litulie, lisipange kikosi kwa kubahatisha ikiwemo kuweka wachezaji kwa maana tu kila mtu aonekane kachangia kufuzu hatua inayofuata.
Pamoja na matokeo mabaya iliyoyapata Simba uwanja wa Taifa ambayo imepelekea kupungua kwa mashabiki kuingia uwanjani, bado nawashauri viongozi wa Simba kuhamasisha mashabiki wajitokeze uwanja wa Taifa, ikiwezekana, yale matangazo ya WAR IN DAR yangerudishwa, naona siku za hivi karibuni mashabiki wamepungua Sana kuingia uwanjani, hii nikwasababu hakuna uhamasishaji wa kutosha, siku hizi uwanja wa Taifa unajaa mechi za derby tu, tuhamasishe kwa kampeni motomoto ili team zetu zifuzu kwa kishindo.
Tunawaombea mfanikie katika hatua hii muhimu Sana Simba.
Mjumbe hauawawi,
Kumbuka Jwaneng Galaxy ilichowafanya kwa Mkapa!
hapo unatafuta ugomvi na watu!SIMBA
LUNYASI
WEKUNDU
========
WATOTO WA CAF
Ameandika kiujanjaujanja ili sledi isomwe tu.Ameandika huku anaogopa na kupima upepo.😂😂Nimeishia pale uliposema uwanja wao sio mzuri. Ina maana Simba tulipiga 2 na mipasi uwanja upi
Mzee utaundiwa zengwe,sio kwa misifa hiyoNachojua mimi,
SIMBA
LUNYASI
WEKUNDU
TAIFA KUBWA
MWANA KULITAKA
MWANA KUIPEWA
WAZEE WA KIDEDEA
WATETEZI WA KWELI
WATOTO WA CAF
Yaan timu inayosakata kabumbu la viwango vilivyopitishwa na baba yao kipenzi CAF na kudhibitishwa na babu yao FIFA, na tena timu iliyo barikiwa na mwenyezi MUNGU tayari imeshafuzu makundi bila kupingwa! hata big bullet na festo do agosto wanalijua hili! wanaojitoa ufaham niwale misukule wa yule mbwa wa pinki
Sina maana ya kuwasanifu. Hata hao Zalan nao ni wabovu tu, na ndiyo maana wananchi tumejipigia goli za kutosha.Kweli kabisa kama simba angekutana na zalan basi simba ingefungwa goli zaidi ya tatu na zalan maana wale jamaa wanapiga mpira sio mchezo si ndio mwananchi.
mkuu kiukweli simba inanipa raha sana!Mzee utaundiwa zengwe,sio kwa misifa hiyo
Simba inapendwa sana na caf ndo maana kila wiki caf wanaipost simbahapo unatafuta ugomvi na watu!
Make hapo ncheke kwanzaYaani Simba SC walichezeshwa wakati wa saa Tisa mchana walidhani ni Waarabu..!
Wachambuzi mnatisha mno yaani.
Umesahau ya SImba kule Zambia?Huu ndio ukweli wenye uhalisia.. Ukishindwa kutamba kwenyu ugenini utaweza wapi?
Wanaitwa wahadzabe wa sudaniIla kuna watu wanateseka na Simba..nyie endeleeni kuwapiga hao wakaka mlopewa wa Zalan sijui. Huku kwa wababe waache wababe wapambane..chambueni vya kwenyu.
Jwaneng waliwezaje?Huu ndio ukweli wenye uhalisia.. Ukishindwa kutamba kwenyu ugenini utaweza wapi?
Kama Vipers waliwashindwa watawaweza Al Hilal au St.GeorgeKweli mzee Sunday manara ana akili kasema ule mchezo wa Utopolo na Zalan sio kipimo halisi kama uto wanaweza au la. Wale zalan kumbe bwana hata mpira sio kitu wanafanya daily wana kazi zao za kuwaingizia kipato so mpira ni kama kitu cha kujifurahisha tuu.
Mpira hauko rahisi hivyo kuueleza kwa formula eti kwavile ulishindwa kumfunga timu A basi timu B hauwezi kumfunga. Tutumie basi sheria hiyo hiyo tuseme kwavile Simba aliyemfunga st. George kafungwa na Yanga basi St. George hawawezi kumfunga YangaKama Vipers waliwashindwa watawaweza Al Hilal au St.George