Mechi ya Simba vs Nyasa Big Bullet itakuwa ngumu sana, na huenda Simba ikafungwa lakini itavuka

Mechi ya Simba vs Nyasa Big Bullet itakuwa ngumu sana, na huenda Simba ikafungwa lakini itavuka

Big Bullet walifugwa kwasababu ya kuichukulia poa simba hakukuamini kilichowapata, Next game itakuwa ngumu kwa simba, kwani sinba itaenda kwa game plan ya kujilinda.
 
Back
Top Bottom