Mechi ya Simba vs Nyasa Big Bullet itakuwa ngumu sana, na huenda Simba ikafungwa lakini itavuka

Bora hata hao simba kuna team ilicheza na wavuvi wa sudani ikatoka half time kichwa chini na walikuwa nyumbani.
 
Ile timu ni mbovu! Na hata rekodi zake kwenye haya mashindano ni za kusikitisha. Hivyo siwapi kabisa nafasi.

Ninachofahamu kama mwanamichezo, wakija Bongo wanaweza hata kufungwa goli zaidi ya 3, iwapo tu watakosa nidhamu ya mchezo.
Kweli kabisa kama simba angekutana na zalan basi simba ingefungwa goli zaidi ya tatu na zalan maana wale jamaa wanapiga mpira sio mchezo si ndio mwananchi.
 
Hapa unaongelea Simba ipi labda.? Tuanzie hapo
 
Kumbuka Jwaneng Galaxy ilichowafanya kwa Mkapa!

Hii ni kweli , na SSC itafungwa , wale kuna makosa walifanya kama Galaxy wakiwa kwao na wanakuja kuboresha.

Tena Beki za SSC ikiongozwa na Inonga wanavyotegeana na kusababisha magoli ya hovyo tena wakati mwinginne wanasindikiza mfungaji hadi afike golini , mtakuja kuona.

Ila ni bora ifungwe tu maana hatua zinazofuata maumivu yatakuwa makubwa.. SSC ya sasa ni dhaifu

Yanga itapita ni MUST, lakini nayo hatua inayofuata inatoka. Yanga hana experience wala strength za kumtoa Al Hilal tena wala ile St Joji.
 
Mzee utaundiwa zengwe,sio kwa misifa hiyo
 
Kweli kabisa kama simba angekutana na zalan basi simba ingefungwa goli zaidi ya tatu na zalan maana wale jamaa wanapiga mpira sio mchezo si ndio mwananchi.
Sina maana ya kuwasanifu. Hata hao Zalan nao ni wabovu tu, na ndiyo maana wananchi tumejipigia goli za kutosha.
 
Ila kuna watu wanateseka na Simba..nyie endeleeni kuwapiga hao wakaka mlopewa wa Zalan sijui. Huku kwa wababe waache wababe wapambane..chambueni vya kwenyu.
 
Ila kuna watu wanateseka na Simba..nyie endeleeni kuwapiga hao wakaka mlopewa wa Zalan sijui. Huku kwa wababe waache wababe wapambane..chambueni vya kwenyu.
Wanaitwa wahadzabe wa sudani
 
Kweli mzee Sunday manara ana akili kasema ule mchezo wa Utopolo na Zalan sio kipimo halisi kama uto wanaweza au la. Wale zalan kumbe bwana hata mpira sio kitu wanafanya daily wana kazi zao za kuwaingizia kipato so mpira ni kama kitu cha kujifurahisha tuu.
 
Kama Vipers waliwashindwa watawaweza Al Hilal au St.George
 
Kama Vipers waliwashindwa watawaweza Al Hilal au St.George
Mpira hauko rahisi hivyo kuueleza kwa formula eti kwavile ulishindwa kumfunga timu A basi timu B hauwezi kumfunga. Tutumie basi sheria hiyo hiyo tuseme kwavile Simba aliyemfunga st. George kafungwa na Yanga basi St. George hawawezi kumfunga Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…