Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itategemea kwao mnakunywa ngapi.Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.View attachment 2590668
wydad wajiandae kama simba itashinda goli 3 na zaidi ndio itakuwa salama yao.Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.View attachment 2590668
... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.Iwe mvua iwe jua mwarabu atakaa
Mpira sio wa mdomoni...mliongea hivihivi jana mkakandwa...... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Uwe unaangalia kwanza hayo masaa yapo kwa masaa ya zone ipi.Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.View attachment 2590668
Itakuwa saa 10 jioni.Acha ushamba masaa ya Tanzania itakuwa jioni
Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.View attachment 2590668
Acha Uwongo Mechi hiyo ni Saa 10 Kamili Jioni kwa hapa Kwetu Tanzania na ya marudiano kule Kwao ni Saa 4 Kamili Usiku.Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.View attachment 2590668
... neno la faraja hilo! Sasa mwenye mpira wa mdomoni ni SSC au Waydad?Mpira sio wa mdomoni...mliongea hivihivi jana mkakandwa...
Kama tuliweza kufunga bao kwny ule uwanja wa kwao na haijawahi fungwa hapo..how come tushindwe hapa??
Halafu wewe jamaa umesahau MITO ILIYOUNGANA (Rivers United) walikichomoa mwiko nyuma ndani na nje. Sasa jiandae kisaikolojia maana anaendeleza alipoishia.... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Hua unuafuatilia mpira kweli shekhe!! Au timu unazifahamu lakini!!... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.