Mechi ya Simba vs Wydad ni saa 8:00 mchana

Mechi ya Simba vs Wydad ni saa 8:00 mchana

karue

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
203
Reaction score
435
Kwa ratiba hii tuombee Sana siku hiyo jua liwake vya kutoa ili wapinzani wetu waingia kwenye mfumo.
IMG-20230417-WA0009.jpg
 
Kama ni jua mbona kwa wenzetu ndio kali zaidi joto ndo balaa kabisa sielewagi logic ya wabongo na mpira juani. Nyie jipangeni kama jana mlivyompiga yanga jipangeni sanaaaaaaa mtatoboa hayo mambo ya jua sjui liwake sana mtafungwa na jua lenu
 
... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Mpira sio wa mdomoni...mliongea hivihivi jana mkakandwa...
Kama tuliweza kufunga bao kwny ule uwanja wa kwao na haijawahi fungwa hapo..how come tushindwe hapa??
 
Yeah au 11 hivi maana kipindi ratiba inaonyesha saa7 mchana ilikuwa ndio saa 10 uku
 
Mpira sio wa mdomoni...mliongea hivihivi jana mkakandwa...
Kama tuliweza kufunga bao kwny ule uwanja wa kwao na haijawahi fungwa hapo..how come tushindwe hapa??
... neno la faraja hilo! Sasa mwenye mpira wa mdomoni ni SSC au Waydad?
 
... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Halafu wewe jamaa umesahau MITO ILIYOUNGANA (Rivers United) walikichomoa mwiko nyuma ndani na nje. Sasa jiandae kisaikolojia maana anaendeleza alipoishia.
 
Kuumiza wachezaji mpira ni uwezo kama huna utapigwa tu hata mcheze kwenye kikaango
 
... mtoano mlipigwa nje ndani ndio mtamkalisha qtr finals? Be serious! Jiandaeni tu kisaikolojia mbio za Simba ndio zimefikia mwisho.
Hua unuafuatilia mpira kweli shekhe!! Au timu unazifahamu lakini!!
 
Back
Top Bottom