Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soka letu ni la ajabu sana
View attachment 1592681
Wameamua kuwabeba simba kwa mara nyingne tena..ni kwamba Yanga wachezaji wake wengi hawajaitwa kimataifa..mikia wao wameitwa so wanaona kama wasipokuwepo itakuwa soo wakt huohuo huwa wanajinasibu kuwa na kikosi kipana kama domo la msemaji wao.Yanga wamehonga aisee sio bure ilikuwa wafe nane bila
Wameamua kuwabeba simba kwa mara nyingne tena..ni kwamba Yanga wachezaji wake wengi hawajaitwa kimataifa..mikia wao wameitwa so wanaona kama wasipokuwepo itakuwa soo wakt huohuo huwa wanajinasibu kuwa na kikosi kipana kama domo la msemaji wao.
Ni juzi juzi tu walikuja na uzi wao wa kujisifia namna wachezaji wao wengi walivyoitwa kwenye timu zao za Taifa. Leo wamekimbilia kwa mbereko yao ili iwanusuru na dhahama!Sababu za mechi ku pelekwa mbele wanadai kuna baadhi ya wachezaji wanaweza kukwama kutokana kwenda kutumikia timu zao za Taifa. Yanga kikosi chao chote kipo hii inaonyesha Simba wamekwenda kulia Tff kuwa baadhi ya wachezaji wao hawatakuwepo. Chakushangaza Simba uwa wanatamba wanakikosi kipana sasa wanaogopa Nini kucheza wakati wanakikosi kipana.
Msimu huu Simba hawawezi kuepuka kipigo wanajichelewesha tu lakini kipigo Kiko palepale