Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike.
====
Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili kukamilisha kipindi cha kwanza.
====
Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili kukamilisha kipindi cha kwanza.